sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,246
Kipindi cha obama Russia iliivamia Ukraine wakajimegea mkoa wa Crimea.
Kipindi hiki cha Joe Biden, Russia anaimega huko ukraine mikoa miwili
Kipind cha Trump , Putin hakuthubutu.
Kiukweli Obama na Bidden ni maraisi ambao wanapaishwa sana na media kuanzia magazeti mararufu kama New York Times na Washington Post, mpaka channels za habari kuanzia Cnn, Bbc, Msnbc, n.k. lakini ni maraisi weak tu.....
kwa upande wa trump, Media haikuwa upande wake na ilitumia nguvu kubwa sana kumpinga lakini alikuwa rais imara sana aliefanya vingi sana ambavyo mtu anaefatilia cnn na bbc hawezi kuja kuvijua, maana hata hawa kina Millard Ayo, Itv, n.k nao wanafowadi habari kutoka huko cnn.
Yote kwa yote Trump alikuwa ni mwamba,