mndorwe
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 2,472
- 1,027
Hawa mtaki ila ukwel atawanyoosha.....Hii itakuwa habari mbaya kwa Museven, Mugabe, Nkurunzinza, Shein and the Co.
Hawa mtaki ila ukwel atawanyoosha.....Hii itakuwa habari mbaya kwa Museven, Mugabe, Nkurunzinza, Shein and the Co.
Namuombea Trump akamate usukani atuonyeshe waafrika kwamba sisi tunatakiwa kutawaliwa TUTrump ana tatizo la kusema ukweli kupita kiasi.
Akifanya hivyo ni sawa kabisa kwa sababu hatuna faida yoyote hapa duniani zaidi ya kutesana tu wenyewe kwa wenyewe.Huyu mtu ni hatari kumkabidhi password za makombora ya nyuklia yaliyopo marekani, anaweza tu amka asubuhi akatulipua waafrika wote akidai kua ametupunguzia matatizo yetu.
Ndie anafaa kwa miaka ya sasaTrump ana tatizo la kusema ukweli kupita kiasi.
Dunia itapungikiwa mengi sana tu Kwakua Mungu muumba aliona ni sahihi mimi kuwepo kwa muda huu, na ni sahihi kwa sisi kama waafrika kuwepo, hao ni watu waliokosa baraka ya utu ndani ya nafsi zao usidanganyike na maneno yao ya kilaghai. Mungu anatupenda wote kwa usawa.Akifanya hivyo ni sawa kabisa kwa sababu hatuna faida yoyote hapa duniani zaidi ya kutesana tu wenyewe kwa wenyewe.
Assume wewe haupo, dunia itapungukiwa na nini?
Kama mungu anatupenda mbona nyie hamuwapendi ndugu jamaa zenu?Dunia itapungikiwa mengi sana tu Kwakua Mungu muumba aliona ni sahihi mimi kuwepo kwa muda huu, na ni sahihi kwa sisi kama waafrika kuwepo, hao ni watu waliokosa baraka ya utu ndani ya nafsi zao usidanganyike na maneno yao ya kilaghai. Mungu anatupenda wote kwa usawa.
Trump ana tatizo la kusema ukweli kupita kiasi.
ila CNN ni right wing ni republicans damu
Unahitaji shule ya uumbaji mkuu, tafuta darasa.Kama mungu anatupenda mbona nyie hamuwapendi ndugu jamaa zenu?
Usikaririshwe Uafrika wa kina Nyapara kama kina Nkapa,JK na team zao.
Tusingekuwepo dunia ingepungukiwa nini?
Sio kwa Mugabe, huyu mzee sio puppet!Hii itakuwa habari mbaya kwa Museven, Mugabe, Nkurunzinza, Shein and the Co.
Wao wanasema, he will never be the American Presidaaa!
!
Huyu Donald Trump ni mkweli mno. Atafaa sana kuwa raisi wa Marekani na Dunia kwa ujumla.
Naona ile chuki ya chama tawala kitoke madarakani ndo imetawala, watu hawapendi status quo.Sidhani kama tunakuwa sahihi kwa kutarajia kuwa Trump atakuwa suluhisho kwa matatizo yetu ya Africa,marekani ina nguvu sababu ina mifumo imara ndani na nje ya kuipatia fedha serikali,ukusanyaji imara wa kodi ni mfano mojawapo wa mifumo hyo,tunachoweza kufanya ni kuisaidia serikali kwa kutumia utashi na taaluma zetu kufika tunapopakusudia. suluhisho pekee ni sisi wenyewe pamoja na viongoz wetu kuamua kuibadili Africa.