What about fulani?Tr will start the voyage but will not reach overseas. Unless he reforms.
Wa nchi gani? Maana hapa kwetu tu tuliona wakina Batilda walivyotolewa Japan bila hata kupewa nafasi ya kupackHizi ni propaganda za vyombo vya habari.
Mabalozi husaini Mikataba ya Muda wa Kazi na hawatolewi kizembe namna hiyo.
ungetoa sababu kwanini ni muongo namaanisha umpinge kwa hoja zenye mashiko vinginevyo utakuwa hujamsaidia na hapa tupo kwa ajiri ya kuelimishanaUWONGO ULIOTUKUKA HUU
ACHA UWONGO CHUKI YAKO ISIFIKE MPAKA KUJITUNGIA UWONGO NDUGU YANGU
HIVI KWA MFANO UNAONGEA MAMBO YA UWONGO NA HUNA USHAIDI NAYO INAKUSAIDIA NINI?
WEWE MMATUMBI NA MAUONGO YA KUHUSU MAREKANI YANAKUSAIDIA NINI HIVI?
Vyovyote ilimradi havunji katiba.!Huyu Jamaa Analipiza Kisasi au Anafanya Kazi kama Raisi
Unahisi hajavunjaVyovyote ilimradi havunji katiba.!
ungetoa sababu kwanini ni muongo namaanisha umpinge kwa hoja zenye mashiko vinginevyo utakuwa hujamsaidia na hapa tupo kwa ajiri ya kuelimishana
Inawezekana ni kweli maana huyu jamaa ni mbumbumbu kwenye masuala ya utawala amezoea kuhesabu mkwanja. Anakurupuka.na kauli za kipuuzi ndio maana anapanga kujenga ukuta kwenye mpaka wa Marekani na Mexico lakini eti Mexico ndio igharamie huo mrad huo! Wapi na wapi? Ni kichaa huyu kama hana hela si aache tu?Hizi ni propaganda za vyombo vya habari.
Mabalozi husaini Mikataba ya Muda wa Kazi na hawatolewi kizembe namna hiyo.
Ila naamini huyu Jamaa, Congress na Senate watam-impeach tu, ni swala la muda.
Kitendo cha kutoamini au kutilia shaka taarifa za Ujasusi za vyombo vyako mwenyewe eti unaamini vyombo vya ujasusi vya Urusi ni kuidharirisha marekani.
Ila naamini huyu Jamaa, Congress na Senate watam-impeach tu, ni swala la muda.
Kitendo cha kutoamini au kutilia shaka taarifa za Ujasusi za vyombo vyako mwenyewe eti unaamini vyombo vya ujasusi vya Urusi ni kuidharirisha marekani.
Wabongo bwana waamue wamarekani mpige ukunga nyie waswahili wakati ya kwenu ata mnapoelekea hampajuiiiiSenators wa republican wanamshangaa, asubiri msumali wake inaonekana anataka kuendesha nchi kama Mali binafsi. Ile kitu inaitwa interagency community asicheze nayo.Jamaa wamefanya presentation kwenye kamati ya bunge jana wanatisha wale Trump hawezi kusimama na, inabidi awe mpole tu.Anyways atajifunza taratibu kuheshimu vyombo vya usalama.Yeye kazoe polisi jamii wanaolinda Trump Towers
Rekebisha rangi ya kutumia mkuu, hii kidogo inakuwa na poor invisibility Kwa machoMKUU AKASOME INFORMATION ZOTE ZIKO ONLINE, KUANZIA MARCH 17, 2011, UN SECURITY COUNCIL WALIVYOAPITISHA RESOLUTION 1973. NATO WALIVYOTOA NO FLY ZONE, ATAFUTE MEMBER WA NATO NI NANI? NI NCHI GANI KATI YA HIZO ZILIKUWA MSTARI WA MBELE KUANZA KUTUPA MABOMU LIBYA HALAFU ATAPATA JIBU?
SIYO KUANZA KUMSHUTUMU MTU MMOJA TU WAKATI MCHAKATO UNAANZA MARCH 17, SOUTH AFRICA, GABON, NIGERIA, INDIA, GERMANY, PORTUGAL WALIKUWEPO.
VIJANA HAWA WANAFATA SANA HABARI ZA KUSIKIA NA TETESI BILA KUFANYA UCHUNGUZI YAKINIFU
Kuna siku inakuja ndipo mtaanza kumwelewa TrumpInawezekana ni kweli maana huyu jamaa ni mbumbumbu kwenye masuala ya utawala amezoea kuhesabu mkwanja. Anakurupuka.na kauli za kipuuzi ndio maana anapanga kujenga ukuta kwenye mpaka wa Marekani na Mexico lakini eti Mexico ndio igharamie huo mrad huo! Wapi na wapi? Ni kichaa huyu kama hana hela si aache tu?
Trump anacheza na akili za wamarekani, kila akiongea anaongea kile wamarekani wanakitaka na siyo wabongo. Tatizo sisi wabongo tumezoea siasa za kuficha maovu yaendelee tendeka Kwa mgongo wa kuharibu Amani ya nchi.Trump akiridhia taarifa hizo haraka haraka kabla hajaapishwa ni sawa na kusema "sikushinda kihalali bora nijiuzulu". Anao washauri wazuri. Ni siasa hizo. Trump ameuhadaa mfumo wa kidemokrasi wa Marekani na kushinda. Wanalazimika sasa kurudia mfumo wa kidemokrasia wa kidunia ambapo mshindi hupatikana kwa kura nyingi za waliopiga kura. Hawana budi kuachana na "electoral college" (jopo wakilishi la uchaguzi) yao. Hicho ndicho kinachowauma. Kuuacha mfumo wao ambao walidhani ni kombozi imekuwa shida. Wanampiga mshindi Trump kwa pande zote "left, right and centre," yaani kushoto, kulia na kati. Ataendelea kuwashinda kwani anajua anachokifanya na anawajua wamarekani na siasa zao. Hata wakimu-"impeach" bado atakuwa aliyekuwa Rais wa Marekani. Kwa Trump hayo ni mafanikio tosha kwake ukizingatia jinsi alivyopambana na upinzani ndani na nje ya chama chake. Hapo alipofika kwake inatosha. Tarehe 20 sio mbali sana.