Kibao kilikuwa kinaonyesha seed ngapi eneo hilo ..?!
Mkuu hakuna kibao, pia nili kwenda muona RTO wakituo cha Polisi alikubali kuwa hakuna alama yeyote, Ila niwajibu wangu kutembea 50 km/hr nikiwa mjini, inachekesha...
Kibao kilikuwa kinaonyesha seed ngapi eneo hilo ..?!
Ni usalama barabarani yaani Trafic wameagizwa kuyakamata angalau magari kumi kila siku na kuyatoza faini
Chanzo: Jambo leo