Trafiki wa makutano ya Mwenge ni kero na hatari kwa uchumi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,591
8,820
Hivi katika hali ya kawaida tu unawezaje kusimamisha Magari kwa zaidi ya nusu saa upande mmoja eneo linaingiza magari na kuyatoa mjini?

Wale Trafiki ni ushamba au ujinga wanafanya pale? Hakuna sababu yoyote ya kufanya vile. Trafiki wajue kuna Wagonjwa wakati mwingine wanawahishwa Mahospitali kwa Magari binafsi.
 
Sometimes mi naonaga Bora Wangeziacha Taa, (Traffic )Wao Wakasimama Pembeni Kusimamia Sheria
 
Alafu walivyo makenge taa zikiwa nzima yanakaa katikati kuongoza magari taa zikiwa mbovu yanasogea pembeni yanakaa vikundi vikundi yanapiga stori ndani ya bajaj au kwenye kibanda Chao pale puma njia ya tegeta
 
Aisee pale mwenge ikifika jioni unachoka kwanza
Sio Mwenge tu hata Mbagala kuelekea Mbande tunashangaa kinachosababisha trafiki kuelekeza magari kwenda kuzunguka St. Marries almarufu Kokoto bila zababu za Msingi na bila kujali mafuta yamepanda na kupotezea muda abria kukaa kwenye foleni muda mrefu
 
Hivi katika hali ya kawaida tu unawezaje kusimamisha Magari kwa zaidi ya nusu saa upande mmoja eneo linaingiza magari na kuyatoa mjini?

Wale Trafiki ni ushamba au ujinga wanafanya pale? Hakuna sababu yoyote ya kufanya vile. Trafiki wajue kuna Wagonjwa wakati mwingine wanawahishwa Mahospitali kwa Magari binafsi.
Tatizo lipo kwa mamlaka hsika maana zile taa za kuongoza magari dar es salaam nzima hazipo sawa zinashida barabara ya kuja tegeta karibia njia yote madereva wanaendeshea uzoefu tu
 
Alafu walivyo makenge taa zikiwa nzima yanakaa katikati kuongoza magari taa zikiwa mbovu yanasogea pembeni yanakaa vikundi vikundi yanapiga stori ndani ya bajaj au kwenye kibanda Chao pale puma njia ya tegeta
Afu wakitaka kusimamisha gari, wanachomoka kibandani afadhali ya panya anaefukuzwa na paka
 
Hivi katika hali ya kawaida tu unawezaje kusimamisha Magari kwa zaidi ya nusu saa upande mmoja eneo linaingiza magari na kuyatoa mjini?

Wale Trafiki ni ushamba au ujinga wanafanya pale? Hakuna sababu yoyote ya kufanya vile. Trafiki wajue kuna Wagonjwa wakati mwingine wanawahishwa Mahospitali kwa Magari binafsi.
Ni nchi yetu tu hatujui maana ya traffic lights, tulizichukua tu huko ughaibuni na kuja kuzipachika tuonekane tunazo. Serikali wanasema traffic wanasimamia Sheria barabarani lkn tuna mbinu nyingi za kusimamia Sheria ikiwemo kufunga kamera zitakazo dhibiti mienendo ya madereva na si wao kukaa barabarani zifungwe kamera mtu atakutana na kosa lake mbele ya safari lkn kwa pale barabarani watu waachwe wapite kupunguza foleni dar ni kitu ambacho kinawezekana pia itapungiza rushwa barabarani.
 
Back
Top Bottom