TRA nimekoma sirudii tena

Nilishaacha kitambo biashara ya kutoa bidhaa Zanzibar. Kwa kifupi hakuna muungano harafu utakuta zezeta moja linakuambia Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.
yaani tatizo mpaka vitu vidogo wanamind yaani,bora utoe kitu huku kupeleka kule
 
yaani tatizo mpaka vitu vidogo wanamind yaani,bora utoe kitu huku kupeleka kule
Wazanzibar ni watu wa ajabu sana kung'ang'ania muungano. Kuna siku nilinunua pikipiki sport hapo Mlandege, aisee nilipopigiwa ushuru na taratibu za kuivusha mbona tangu siku hiyo nikatambua Zanzibar ni nje ya nchi.
 
Tunahitaji kodi yako kuendeleza nchi yetu, kalipe hiyo kodi tafadhari.
 
Hizi Namba tunasoma wengi kila MTU analalamika tu asante ccm jitahidini mpaka 2020 tunyooke kabisa tusisahau maumivu hili tufanye maamuzi sahihi hapa kasi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom