TRA nimekoma sirudii tena

Ed edd n eddy

JF-Expert Member
Jan 3, 2016
212
269
habari

kwa masikitiko makubwa napenda kunyoosha mikono juu na kusarenda kwa TRA na kuwaambia "nimekoma" raia mimi nimekoma.

Nilinunua TV ya samsung inchi 42 used ambayo jamaa yangu alikua anaiuza yeye kanunua nyingine,nimeinunua sababu bei rahisi lakini furaha ya bei hiyo rahisi iliishia hapo bandarini,nimeambiwa nitoe 250,000Tsh ya TRA ili niitoe tv yangu.wallah tv used wanataka kunikamua kama vile nimeitoa ughaibuni kumbe imetoka hapo juu kwa mshkaji wao jecha.wanasema mambo ya july 1 hayo


Tutaisoma namba(nimekoma)
 
Nilishaacha kitambo biashara ya kutoa bidhaa Zanzibar. Kwa kifupi hakuna muungano harafu utakuta zezeta moja linakuambia Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.
 
Ajabu kuwa ukinunua kitu Dar ukifika kwa Jecha hulipi, Ila Toa kwa Jecha leta hapa utalipa tena kwa kukomoa, tunaposema lile koloni pale lumumba wanatokwa povu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…