TRA haijawahi kuongozwa na Tax man

Taxation mtu wa fani yoyote aweza ANASOMA.Linafundishwa degree zote.Somo la tax lipo.Professional examination bodies zote hilo somo lipo.It is not a big deal like medicine or engineering!! Mtu yeyote aweza kuwa kamishna wa TRA
HATA KAMA TAXATION LIPO KWENYE DEGREE ZOTE BADO KUWA WALIOBOBEA. UNAMKUMBUKA MWENDA? COMMISIONER WA INCOME TAX ALIYEFUKUZWA KAZI NA MWALIMU. ALIAJIRIWA NA M7 AKAANZISHA URA AMBAYO MKAPA ALIOMBA MSAADA KWA M7 KUISUKA TRA ALISHANGAA KUKUTA MWENDA NDIO MWANZILISHI. ALIPOTOKA UGANDA AKAJA KUWA COMMISSIONER WA FEDHA WA TUME YA JIJI NA NDIO ALIYEPAISHA MAPATO YA TUME YA JIJI LA DSM..
 
Degree za Tax zina nini cha ajabu? Masomo mengi ni yale yale wanayosoma digrii zingine!! Digrii unakuta inaitwa ya Tax LAKINI MLE NDANI MASOMO MENGI unakuta ni yaleyale yaliyoko kwenye digrii zingine.Chukua sylabuss ya digrii zingine hasa za arts linganisha na ya Taxation digrii uone kuna tofauti gani ya maana.Hakuna.Ni vitofauti vidogo vidogo ambavyo sio material.Mtu akienda hata short course ya taxation ya wiki mbili au akajisomea kwenye internet kama havijui aweza vijua vyote
mkuu naona umeamua kuwapa za uso hawa vilaz'a. safi sana. vilazi ni wengi sana kwenye hayo maeneo mmoja wapo ni mleta huu uzi humu.
 
HATA KAMA TAXATION LIPO KWENYE DEGREE ZOTE BADO KUWA WALIOBOBEA. UNAMKUMBUKA MWENDA? COMMISIONER WA INCOME TAX ALIYEFUKUZWA KAZI NA MWALIMU. ALIAJIRIWA NA M7 AKAANZISHA URA AMBAYO MKAPA ALIOMBA MSAADA KWA M7 KUISUKA TRA ALISHANGAA KUKUTA MWENDA NDIO MWANZILISHI. ALIPOTOKA UGANDA AKAJA KUWA COMMISSIONER WA FEDHA WA TUME YA JIJI NA NDIO ALIYEPAISHA MAPATO YA TUME YA JIJI LA DSM..
yaelekea nyerere naye alikuwa haambiliki. haiwezekani afukuze mtaalamu hapa halafu akafanye maajabu nje kisha tuanze kushangaa. viongozi kuweni makini na wataalamu wenu na muwaheshimu kwenye maamzi yao maana ni yakitaalamu na sio ya kisiasa.
 
Tangu imeanzishwa TRA haijawahi kuongozwa na mtoza ushuru.Alianza Sanare akaja muhasibu Kitilya then banker Bade na sasa Kadata.Sasa sielewi pamoja na ITA kuwepo kwa zaidi ya twenty five years wameshindwa kutoa wabobezi wa kushika nafasi nyeti hapo TRA.Ubunifu zaidi unahitajika pamoja na success iliyofikiwa
Meneja wa hispitali sio lazima awe Dr, uongozi ni tofauti na utaalam husika, unaweza ukawa taxman na husiwezenkuwa kiongozi mzuri, kiongozi anatakiwa awe na wasifu wa aina tofauti tofauti na sio wa field husika tuu
 
Yehodaya pale TRA wahasibu hawakusanyi kodi wao wanatoa risiti na kuandaa report tu
 
Meneja wa hispitali sio lazima awe Dr, uongozi ni tofauti na utaalam husika, unaweza ukawa taxman na husiwezenkuwa kiongozi mzuri, kiongozi anatakiwa awe na wasifu wa aina tofauti tofauti na sio wa field husika tuu
Hilo linaeleweka mkuu
 
Back
Top Bottom