TP Mazembe: Tunawashukuru sana Mashabiki a Mpira Tz Bila wao Tusingeshinda

Duu, Jerry atambue mpira hauchezwi mdomoni
IMG-20160628-WA0015.jpg
 
Ujumbe muafaka kabisa.

Sasa kazi yao kubwa ni zomea zomea. Hadi leo timu haina kocha lakini kamati ya usajili ipo kazini. Kocha akija anakuta wachezaji ambao wanaweza kuwa wazuri sana lakini hawaendani na mfumo wake!

Wangetumia muda kujipanga upya.

Mwakani wajiandae kuzomea kwa sana maana Yanga ndiyo mwakilishi club bingwa na Azam kombe la shirikisho. Labda mwaka keso kutwa wanaweza kubahatisha nafasi mojawapo.
 
Jerry anawaponza, anachonga sana, sijui nani alimwambia kuwa msemaji ni kuropoka hovyo namna ile. Anakuwa kama hana taaluma. Anatengeneza uadui na Simba matokeo yake Mazembe wamekuwa kama wako kwao. Maana Simba wameshangilia muda wote as if mnyama ndo anacheza.
Kwa kweli hawa maafisa habari wa Yanga na Simba wanatuvua nguo watanzania kama Jerry ndio kabisa ni kama mtoto mdogo tena asiye jitambua
 
Wamedamka asubuhi kama msibani, hata aibu hawana
Mkuu matokeo yake wemelala 1-0 wengine wamepigwa, na wamemwagiwa maji ya kuwasha, vilevile geti wamevunja yaani hawa jamaa viongozi wao sijui waliwaza nini kuhusu bure..!?
 
Jerry anawaponza, anachonga sana, sijui nani alimwambia kuwa msemaji ni kuropoka hovyo namna ile. Anakuwa kama hana taaluma. Anatengeneza uadui na Simba matokeo yake Mazembe wamekuwa kama wako kwao. Maana Simba wameshangilia muda wote as if mnyama ndo anacheza.
simba na yanga zmekua zikizomeana hata kabala ya jerry kuwepo yanga,so hakuna kufungwa kwa yanga hakuna uhusiano na maneno ya jerry
 
Ujinga huu na mwingine mwingi upo kwenye nchi moja tu, ya maajabu nayo ni Tanzania.
 
Back
Top Bottom