vp kuhusu safari ndefuBoxer watu wengi hawazipendi kwa sababu huwezi kubebea mizigo mizito km ilivo Toyo. Toyo inavumilia mizigo mizito, lakini boxer ni za luxury za town, na safari coz ni nyepesi haili mafuta na ina spidi nzuri.
kwa mfano rafu rod vpBoxer ni nzuri sana ukiitunza na usipofanyia biashara baaasi utaipenda sana
Fanyia matengenezo usigongwe gogwe
bora ununue baiskeli tu kama ndio ivo
Kwa safari ndefu boxer ndo iko vizuri kuliko Toyo. Nimeona majamaa wanaoendea singida wakitokea arushavp kuhusu safari ndefu
Zimeingia boxer za mchina.Ila hizi boxer zinazoingia sokoni sasa hivi usijaribu mkuu, najuuuuutaa.
vi hero ni vzur pia mafuta inatumia vzur pia ata ubora nahc cz ni ya india sema spea cjajua atawakuu kuna pikipiki zinaitwa Hero, nazo zimetengenezwa na mhindi, vipi mnazionaje kiubora na mengineyo kwa waliowahi kuitumia maana nataka niinunue mwisho wa mwezi huu
kwa mfano hyo oil filter inaweza kuwa bei gani sababu me ninachoogopa ni gharama tu
Ee bwana naomba uzoefu zaidi bp ukilinganisha boxer na honda?Boxer nimetumia katibia miaka mitano haikuwahi kunisumbua niliiuza kwa 1.2m nimenunua nyingine INA mwaka na ukiiona ni kama mpya watu wengi hawajui boxer ni Pikipiki nzuri kikubwa ijali kwenye service na tumia oil ya BP kumbuka pia kubadili oil filter sasa wengi oil filter hawabadilishi na oil wanayoitumia haieleweki eleweki na boxer ni kama kitu chochote cha moto ukiona tatizo rekebisha na usitake kuweka Speir fake
Ee bwana nipe uzoefu zaidi kuhusu honda Ace? Napata ugumu wa kununua kati ya boxer na honda?Boxer ni Mashine hatari, mchina haoni ndani. Kuna pikipiki nyingine Nzuri kuliko Boxer, Honda Ace. Hiyo hata Boxer cha mtoto. Ni ngumu mno, imara na inanusa mafuta, hailambi. Hizi bei yake ipo sawa na boxer na spea ni ghali kama boxer ila uimara na comfortability ni zaidi y Boxer.
Nime zitumia zote Boxer 150 na Honda Ace ila Honda ndio chuma zaidi, Hapo ni Mhindi dhidi ja Mjapani.
Zikoje mkuu?Ila hizi boxer zinazoingia sokoni sasa hivi usijaribu mkuu, najuuuuutaa.
Yeah jana nimepita dukani zinaoneka ziko bomba.Wakuu VP TVS naona Nazo ziko poa sana