Tovuti mbaya za serikali zilizotengenezwa na watalaam wa IT wa Tanzania

Tovuti gani waliyo design e-government ambayo wewe hujaikubali. Weka mifano, maana usifikiri tofuvuti zote za serikali wamedesign e-government. Alafu e-government wanakazi zaidi ya kudeal na website tu. Nakumbuka waziri mkuu aliwaambia waka audit mfumo wa bandari
Usiwatetee kabisa hao e goverment. Nimekwambia nimwchukua kazi za chini kabisa na hao e government najua tovuti ni kazi zao za chini kabisa najua wanayo mambo mengi pengine makubwa lakini kamanhili dogo kimewazingua makubwa itakuane.

Hadi leo serikalini kuna watu wanatumia gmail au hotmail kwenye mawasiliano ya kiofisi.
 
Tanzania hakuna mtu anayeweza tengeneza website kiwango, hili nawahakikishia. Ni wavivu, wana copy na wanalipua. Nimetafuta Dar, Zanzibar, Arusha no creativity hata kidogo. Nikamlipa mtu Russia ukiona website unasema wow!
Safi mkuu tusipo kubali ukweli hatuwezi kwenda mbele. Tunatatizo lililo jitokeza baada ya ufisadi kuchukua nchi, kupiga pesa bila kufanya kazi ilikua ndio janja yetu. Hakuna mtu unayeweza kuta anasikitika kwa kutoa huduma mbaya, isiyo kidhi malipo.
 
Japo kuna ka ukweli ndani yake, lakini sasa kwanini tusichukue nafasi hii kufundishana na kujuzana jinsi ya ubunifu mzuri na utendaji mzuri wa kazi za IT wetu! au ndo tuwaachie hao majirani zetu daima, bila ya kujinyanyua sisi wenyewe?
 
Embu kajipange vizuri uje na uzi unao eleweka.. mbona website ya ikulu ipo vizuri sana. Una hoja lkn jaribu kuiweka vizuri.. Design na contents ni vitu viwili tofauti.
Tuseme ukweli , website ya ikulu kwa wanao jua nini maana ya tovuti ya ikulu haina kitu. Haina content naona picha tuu. Dk 2 nimesha maliza ku broqse tovuti yote.
 
Naomba ulete website za Rwanda kwanza ili tu~compare.

Developers wachache kuboronga sio iangukie wote. Watu toka wizarani wanaenda kuchukua developers uchwara wanaotaka laki mbili tatu wanakimbia professional developer anayeanzia 3M+ alafu unategemea wapate quality sawa na site ya serikali ya US ambayo inacost zaidi ya Tshs.milioni 200? Hehehe

Waweke pesa kazi ifanyike, tukisema tunaomba 5M~10M sio kwamba tunaiba, kutengeneza kitu very secured inachukua muda mrefu, planning, execution, lazima uweke hela kwa designers pia, hawa developer uchwara kila kitu anafanya mtu moja ndani ya wiki. Tena hiyo bei iko chini sana, nenda uombe development nje hamjaanza kuongea washataja 50M, mkiendelea inazidi kupanda.

Unajua what it takes kutengeneza site kubwa kama ebay? Nimefanya kazi na shopping site moja kubwa duaniani naongea from experience developers peke yake tulikua zaidi ya 100 hiyo ni ofisi moja out of nyingi walizonazo kila kona, wote tunashughulikia site moja. Kama MOE tu ilifungwa kwa kua hawakua na pesa ya kulipia hosting kitu ambacho kwa mwaka hakivuki milioni moja, watawezaje kulipia kitu kinachohusika na national security? Kama wana hela walete kazi ifanyike, tunaweza kutengeneza kitu ambacho ni better 100 kuliko warwanda, hao warwanda wakiwaleta wataingia gharama zaidi maana itabidi wawalipie malazi na kila kitu.

Watu msio na idea kabisa na haya mambo hamuwezi kuelewa, mtabaki kwenda kiushabiki tu, ungeweza kuona from perspective ya mtu mzoefu usingeongea unachoongea sasa hivi.

Na naomba pia ujue, tatizo la watanzania wanajifanya wataalamu, unamwambia mtu kua ntafanya hivi kwa sababu fulani, yeye kwa kua anakulipa anakwambia sitaki hivyo nataka hivi, yeye ndio ghafla amekua developer anajua kila kitu, au anaanza kukwambia uimplement vitu ambavyo haviwezekani, mwisho wa siku kazi unaboronga tu na yeye anaiona iko perfect, kufanya kazi na wazee shida sana, hawana muda na anything modern.
 
Tanzania hakuna mtu anayeweza tengeneza website kiwango, hili nawahakikishia. Ni wavivu, wana copy na wanalipua. Nimetafuta Dar, Zanzibar, Arusha no creativity hata kidogo. Nikamlipa mtu Russia ukiona website unasema wow!
Habari mkuu usiwe na fikra za miaka zile tupo tunaofanya kazi za ukweli sana hapa hapa tz.. angalia kazi km..iiatanzania.org duxte.com... auditaxinternational.com nitafute nikupe list ya kaz zangu nzuri nyingi tu 0769338868..
 
Mimi sishangai hata kidogo kwamba hatuna wataalamu wa IT, kinachonishangaza ni kuwa hatuna wataalamu wa aina yoyote hata wa lugha yetu wenyewe ya Kiswahili hatuna. Miaka 55 ya uhuru mpaka leo elimu ya juu inafundishwa kwa lugha ya mkoloni! Tutakuja kushangaa kuja kuona pengine nchi kama Iran au Ujerumani wakaweza kusomesha degree ya Sayansi kwa Kiswahili na sisi tukabakia kuzuwia makongamano tu.
 
tovuti za mashirika ya maji ya mikoa mengi yalitumia template moja na ilijkuwa dhaifu sana kiusalama sql rahisi unaingia ndani japo ni miaka kadhaa iliyopita lilikuwa jambo la kushangaza kwangu kukuta udhaifu wa namna hiyo kwenye usimamizi wa msomi aliyehitimu.
nimeanza kuwa na wasiwasi hata hizi point of sale za kibongo si salama.
 
Usiwatetee kabisa hao e goverment. Nimekwambia nimwchukua kazi za chini kabisa na hao e government najua tovuti ni kazi zao za chini kabisa najua wanayo mambo mengi pengine makubwa lakini kamanhili dogo kimewazingua makubwa itakuane.

Hadi leo serikalini kuna watu wanatumia gmail au hotmail kwenye mawasiliano ya kiofisi.
www.tanzania.go.tz
www.gov.rw

Tanzania tupo juu sana. Angalia hizo portal hapo juu uone tofauti
 
Ivi kweli una uhakika nanunacho kipost. Hiyo Tanzania.go.tz nayo unaiona ni tovuti yankujivunia. Pole mkuu
Wewe utakuwa IT uchwara. Unahang over ya javascript zilizokukeshesha usiku kucha.. Na ww unajiita IT!!!? Kwaheri.. Muda wa kazi huu. Mifano hutoi unalalamika tu bila hata dira.
*152*00#
*133#
 
Wewe utakuwa IT uchwara. Unahang over ya javascript zilizokukeshesha usiku kucha.. Na ww unajiita IT!!!? Kwaheri.. Muda wa kazi huu. Mifano hutoi unalalamika tu bila hata dira.
*152*00#
*133#
Ungekua ni IT expert usingekuja na na hayo maneno ya kanga. Uwe mkweli tuu, mbona kuna watalaam wamesema ukweli. Pia mimi sio IT expert ila najua kazi nzuri na kazi mbovu. Wewe ni moja ya watu wanaonjiita watalaam japo kiukweli ji mweupe kabisa .
 
Ila nimekushangaa sana mleta mada maana umeandika huku hujapitia site za Rwanda, hehehe! em naomba uanze na za wizara zote alafu uje utupatie marejesho, maana za kwetu pia ulianza na za serikalini, nimepitia kama tano haraka haraka nimefunga tu, kwanza zinachukua sekunde kama 40 kusubiri loading time, angalau za Tanzania mchwara zinachukua sekunde moja, na usisingizie internet maana nina broadband 1GBPs. Sites zao zimebolongwa tu ovyo.

Nina uhakika wapo kwenye situation kama ya Tanzania tu, wanalipa developer uchwara wanaacha wataalamu kwa kua wanakimbia gharama, sites zote zinaweza tengenezwa na mtu aliyekaa miezi sita tu anajisomea mwenyewe, sijaona anything complex zaidi ya kufetch simple data from database na kudisplay basi. Nchi za Afrika nyingi bado hazioni umuhimu wa digital data coz hakuna wataalamu ngazi za juu, ukiwaambia kitu wanakusikiliza alafu wanakuweka pembeni pending mwaka mzima.
 
.

Tovuti nyingi sa serikali hazijaisha hadi leo, kuna page hazifunguki na wala hazina taarifa zinazohitaji kutokana na design za ovyo zilizotumika.

Hata zile zilizotengenezwa na e- government zipo mahututi, zote zimetengenezwa kwa template tena zina fanana na mbaya hazina info za kutosha na too static.
.

Labda nianze kwa kusema concern yako inaweza kuwa valid na pia mimi si mtaalam wa IT so sidefend mtu. Ila ninachojua lack of information kwenye tovuti inatokana na idara husika na wala sio mtengeneza tovuti. Mtaalam wa IT hawez kuwa na info za idara husika mpk apewe. Na kama hajapewa unategemea aweke nn?
 
Back
Top Bottom