Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,640
- 11,346
Mjini kuna mambo mengi sana...
Sijawahi kuwaza kuna mambo hayo....
Endeleeni kutujuza
Sijawahi kuwaza kuna mambo hayo....
Endeleeni kutujuza
sasa ni sura ngumu tu.....Long time wakati biashara ya supermarket inaibukia ndani ya jiji la DAR nakumbuka eneo hilo ilikuwa moja ya uwanja wa mawindo.ukienda kununua stuffs wadada wazuri wanakuja kukusaidi kuchagua vitu na kukupelekea counter kulipa! litle i knew kuwa unavyoamua kufukuzia hao vimwana nao wanakuwa attention kufukuzia wateje! mpaka inajulikana mteja fulani anahudumiwa na mdada fulani! wote wawindaji!
Naona zama zimebadilika siku hizi sijajua kama haya mawindo bado yapo baada ya kustaafu kitengo hicho.
Wakina mama/wadada wakina Baba tukihudumiwa vizuri uzalendo huwa unatushinda jitahidi kutoka kwenda na mpenzi/mume wako sehemu mbalimbali kuepuka asijeingia majaribuni.
nice karume day though.
Kazi za watu hizo mkuu....hawapigi hela ndefu kwa mtu mmoja siku hizi....wanachofanya ni kuomba kati ya elfu 5 hadi 10. Ana compose msg 1 kisha anarusha kwa mitego yake 20, hapo hakosi laki. Wamesajili line maalum kwa kazi hiyo ya kupokea pesa....ukimpigia hapokei mkuu.Umenikumbusha mkuu huko badoo ukichat kidogo unakutana na sms nisaidie elf 30 au 40 kama hutajali nina shida nazo baby wangu!!
Niliwahi kukutana naye mmoja wa dizaini hii fb. Nikamwambia sinaga huduma za Mpesa. Kama vipi nije hapo ulipo nikuletee. Au nipe akaunti ya benki nikuwekee. Mara ooh basi acha mama keshanitumia. Nikajua ni matapeli tu hao...Umenikumbusha mkuu huko badoo ukichat kidogo unakutana na sms nisaidie elf 30 au 40 kama hutajali nina shida nazo baby wangu!!
Fb wamejaa hao....ndio zao hizo mkuu.Niliwahi kukutana naye mmoja wa dizaini hii fb. Nikamwambia sinaga huduma za Mpesa. Kama vipi nije hapo ulipo nikuletee. Au nipe akaunti ya benki nikuwekee. Mara ooh basi acha mama keshanitumia. Nikajua ni matapeli tu hao...
Siku hizi wanauza Ice Cream... ukipita tu wanakuita uonje...
Kibo complex-Tegeta
Quality Center- Tazara
Mlimani City-
Dar Free Market-
Viva Tower-
My Fair Plaza-
Shoppers-
whaat?mkuu mmoja ilibidi nimpotezee nilipark gari tinted mimi namuona yeye hanioni nikakagua sifa na vigezo sifuri.nikasepa mitandaoni kupata uhalisia ni ngumu wengi ni walioshindikana