NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,049
Bongo tumepambana wee lakini hola.
Ngoja tusubiri mpambano mwingine.
Ngoja tusubiri mpambano mwingine.
Kijiografia inaweza ikawa ndiyo ila hawapo kwenye EA Community...Ethiopia si Afrika Mashariki?![]()
Wakuu mbona sioni mikasa lounge hotel?
Ama MIC hotel ya pale ubungo?
Bongo tumepambana wee lakini hola.
Ngoja tusubiri mpambano mwingine.
Yes! Na ndio maana yangu, kitu cha kwanza Katika fikra sikuwa na mlengo wa Afrika Mashiriki ya siasa (EA Community).Kijiografia inaweza ikawa ndiyo ila hawapo kwenye EA Community...
Singita grumeti ya Serengeti ile lodge moja hadi nyingine, unatembea kwa gariKuna hotel iliwah kuwa namba moja duanian mwaka 2012-2013 hivi ipo wapi?
Pembe ya Africa.
Hapo wameangalia wingi wa vyumba.
Hapa wanaongelea room Capacity ila kuna hotel luxury na ghari sana zaidi ya hizo
Keshazoea jumuiya ya africa masharikiPembe ya Africa.
Kutokuwepo kwenye jumuiya haina maana kwamba haipo africa masharikiKijiografia inaweza ikawa ndiyo ila hawapo kwenye EA Community...
Yani hata Ngurdoto haimo kiruuuuuu
Ile hotel iko chini ya bahari pemba ni miongoni mwa top 20 duniani.
Labda wanaongelea vyumba.
Wamenikumbusha mbali sana. Amejenga nyumba vyumba sita ilikuwa ndio heshima
Hapa wanaongelea room Capacity ila kuna hotel luxury na ghari sana zaidi ya hizo