Top Google Adsense High Paying Keywords in 2018

Njia za nini boss ,mimi ni mtaalam wa mambo ya Webdesigning ,hosting ,reseller as well online business,kama unahitaji moja ya hizi service unanicheki kupitia 0687535650
 
Njia za nini boss ,mimi ni mtaalam wa mambo ya Webdesigning ,hosting ,reseller as well online business,kama unahitaji moja ya hizi service unanicheki kupitia 0687535650
mi mwenyewe pia mkuu asante kwa hilo
 
hivi cpc inaweza kufika hata dola 2 kweli? Maana hapo naona mpaka $179...inawezekana kupata $179 per click?

Nimejaribu keyword za loan bado cpc haijafika hata $1, nashare south na us....tatizo laweza kuwa nini?
Kama unatumia social media kupata ata $3 inaweza ikawa ndoto wanapenda organic search ndio wanalipa hela nyingi
 
Back
Top Bottom