Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,025
- Thread starter
- #41
Beauty queen safi, mi nshakuwaga na demu mkali sana na nilikuwa nainjoy tu maisha bila stress. Hana makundi first anajiamini plus plus akiwa na mimi tu. Hatoi room kwa mtu yeyote baki in or out of my presence kumtongoza and very good at ignoring attention!
Hii ni past tense hukumuweka ndani beauty queen?au na wewe ulipata wasiwasi!