Toka kwa mkongwe mfundaji

Hii ukiipata kwa mwanamke wa siku hizi sio siri kama ni Mimi ela yoyote ninayo ipata ni Mali yako na unazidi kuniongezea nyege za kutafuta pesa hata kuiba nitaiba
Kuongea rahisi.
 
MIMI SIO MFUNDAJI ILA NAKULETEA TOKA KWA MFUNDAJI NGULI NIKIAMINI VIMWANA WA JF WATANUFAIKA NA CHOCHOTE.

VP UTAMTAYARISHA MUME ANAPOSAFIRI??

MUME ANASAFISHWA KABLA YA SAFARI.
Hakikisha mume anasafiri hana kucha. Nywele sehem za siri.
Ndevu kaeka sawa.
Unamsinga awe hana nongo.

AFU TAYAARISHA BAG MAALUM LA KUSAFIRIA.
Ndani yke utaeka nguo zilizopigwa pass vizur na kuekwa na manukato km udi au aluud au perfume.ktk nguo unaeka za kazin na za nyumban na za kulalia afu
Utaeka na msuaki mpya, dawa ya msuaki, sabuni ya kuogea, perfume, mafta ya nywele, lotion, kitana.

UTANDAA CHAKULA KIZUR AMBACHO ANA KIPENDA ZAID MCHANA NA UCKU.
We mwenyeo ndo unaemjulia mumeo nin anapendelea kula wkt akiwa furaha na ww.
Pia mchana utakapomaliza kupika chakula tengeneza salad ktk sahani ambayo utaipamba vegetables vzr yenye heruf yke mfano tumia figili vitango tungule karot au pamba fruit kuonesha tofaut
Chakula cha ucku pia mpike mahanjumati km anapenda wali nazi wa samaki au chochote kile

UTABADILISHA DESIGN YA KITANDA YAAN UTAWEKA TOFAUT NA CKU ZOTE.
muekee shuka jipya juu ya kitanda, afu utaweka design ya mauwa I WILL MISS U DEAR au SAFARI NJEMA HONEY. Utaweka msemo wowote wakumfanya aondoke lkn huku ana ham na ww.

UCKU WA WAKE.
Utatumia pipi nzur kumpa romance ya mda mrefu ya kumuaga na kumfanya akukumbuke mda wote uko atapoenda.
Utampatia mkao maalum ambayo yy huwa anapagawa.
Game ww ndo utaifanya muache yy ucku ule arelax
Baada ya kumaliza utamuachia apumzike juu ya kifua chko km dakika 5. Kwa7b mume akimaliza kula tunda anachoka sana.

UTAENDANAE BAFUNI KUMKOGESHA.
Maji ambayo umeshayatarisha kwa mawarid, kilua na asumini au huna hivyo japo udi wa kibaraza.(lkn hapa angalia km anapenda hayo mambo shoga usijeharibu)
Utamkogesha mume vzr km kwenye beseni au bafu popote ambapo atapata utulivu.

MNA PUMZIKA KITANDANI.
Hapo mume utamuomba msamaha ili asafiri hali ya kuwa yupo radhi na ww.
Na ukipata radhi ya mume ndo umepata radhi ya Mungu.
Kuna uhai na umauti huwez jua km mtaonana tena au lah..

MWISHO UTAMKUMBATIA KWA KUMBATIO LA MDA MREFU WKT WA KUAGANA.
Utambusu utamwambia Mume wngu Mungu akujaalie uenda salama katika safar yko na urudi salama.
SAFARI NJEMA HONEY


Haya sasa ushindwe wewe tu....
Desa la nekta.
 
kabisa shoga angu, atakula alikopeleka mboga, hahahaaaaaa

kwa karne hii sijamuona mwanaume wa kunishughulisha kiasi hicho, kutwa wanatunanga halaf leo nijipinde hivyo, siwez asee
Utawezaje wakati mapenzi yenyewe
Ya kuigiza. Unafiki mtupu.
 
Yani nifanye hayo hayo yote ili mwanamke mwenzangu akainjoi vzr sio? no way asee...., eti nimnyoe kabsa sehemu za siri, kwanin nimuandalie mazingira kiasi hicho? Wanaume wa zaman sawa, lakin hawa wa mwendo kasi hawanaga safari za ukweli, safar walizonazo labda safar lager tu, tena anakwambia yuko mbeya kumbe yupo lodge mtaa wa tatu toka kwenu....ajiandae mwenyewe hakuna namna
Pole sana mkuu naona imekufka hapaaaa
 
Khaaa!! Muda wa kufanya yote hayo niutoe wap.Natoka ofsn saa tatu usiku mpaka saa nne usiku af nifike niandae yote hayo labda kama n siku ya jumapili lakn napo lazima niende kanisan kwanza. Ndevu, vu*i ataenda kunyolewa huko anakoenda. Hamnaga shukran nyie hata mpewe sikio au pua.
Shukrani waitoe wapi wakati mapenzi mnayotoa ni kuigiza. Acheni unafiki, kuweni na mapenzi ya dhati.
 
Aiseeee!! Muwe mnatulipa na mshahara.
Mapenzi ya dhati si mapenzi ya pesa.
Utapolipwa mshahara utakuwa umefanya umalaya.

Kwa ufupi, kutoa huduma za mapenzi kwa kuhusisha mihamala ya pesa ni umalaya.
 
Mapenzi ya dhati si mapenzi ya pesa.
Utapolipwa mshahara utakuwa umefanya umalaya.

Kwa ufupi, kutoa huduma za mapenzi kwa kuhusisha mihamala ya pesa ni umalaya.
Inakupa releaf ukiwaza hivyo!! So jipe releaf.
 
Huwa kuna kitu najiuliza sana, kwanini makungwi wengi hawajaolewa au wameachika. Hivi wanavyovifundisha huwa hawavifanyii vitendo au ujuaji mwingi?
Ilivyo rahisi kuongea unadhani na kutenda ni rahisi??
Wao wenyewe yamewashinda,maisha yenyewe yalivyo msongamano hivi huo muda unautoa wapi wa kufanya yote hayo!!
Na uyafanye alafu awe na shukrani basi!!
 
Yani nifanye hayo hayo yote ili mwanamke mwenzangu akainjoi vzr sio? no way asee...., eti nimnyoe kabsa sehemu za siri, kwanin nimuandalie mazingira kiasi hicho? Wanaume wa zaman sawa, lakin hawa wa mwendo kasi hawanaga safari za ukweli, safar walizonazo labda safar lager tu, tena anakwambia yuko mbeya kumbe yupo lodge mtaa wa tatu toka kwenu....ajiandae mwenyewe hakuna namna
anyolewe kabisa ili akienda aende akiwa safi kabisa. hahahahaha
 
na hii ndio maana ya mahari. Wanawake mnakoseaga sana na ndo maana mtasalitiwa kila mara
 
Siyo kwa wanaume hawa wasiojua kuridhika.. Utapoteza muda wako bure tu. Hivi hakuna shughul zingine za kufanya aiseee
 
Back
Top Bottom