Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

Hayo yalinunuliwa mwaka gani? Hiyo infiniti inaoneka niya siku za karibuni.

I doubt kama ofisi ya mkuu wa Mkoa ilishawai kununua Range Rover kipindi cha Makonda!

Kama ni kweli ofisi imenunua hayo yote kwa muda mfupi. Magufuli ana mwacha, huo ni upendeleo wa wazi wazi!
 
Rc wa wanyonge bwana makonda aka daudi albert bashite anafaa kuchunguzwa na mali
Haiwezekani wala haingii akilini mtu anakiri hana biashara yoyote hapa mjini eti anamiliki mabilioni ya shilingi mfano:-
Ana appartment mjengo wa milioni 600 viva tower
Ana gari 14 za kutembelea za gharama za juu
Mfano gari moja kanunua milioni 200
Nakumbuka birthday ya mke wake alimnunulia gari ya milioni 175
Ana nyumba masaki,mbezi,osterbay, mwanza,arusha za mabilioni ya pesa

Huyo huyo makonda anajenga hotel ya mabilioni ya mapesa mwanza ule mjengo ukikamilika utakuwa ndo hotel ya kifahari zaidi mwanza...

Kwa mshahara huo huo wa urc halafu ndo rc wa wanyonge vijana wa lumumba humwiita hivyo
Jee hivi vyote kavipata wapi kama sio ufisadi na kufuru?

Huyu huyu si ndo yule alisema atawachapa watumishi wa dar viboko pale watakapodai kuongezewa mshahara???
Alianza kutengeneza pesa kipindi kataja list ya wauza Unga ambapo alikamata Unga mwingi akampatia Le mutuz akaenda kuuza china wakaagiza bidhaa na magari vifaa vya majumba yake nk, dili la pili ni Udalali kwenye ununuzi wa ndege ambapo bei halisi ya ndege ilikuwa tofauti na bei waliyokuja nayo, Dili la tatu ni ujenzi wa chato Airport, Reli na miradi yote mikubwa ana 10% zake humo, dili la nne aliwatisha wenye show room za magari akawapa mikwara ya kuhamia kigamboni ndipo wote wakachanga mipesa kibao huku wengine wakimpa magari ya bure apate kuzuia zoezi la kuhamia kigamboni, ni mpiga dili nyingi ana michango mingi, ukitaka siri zake mtafute Le mutuz mnunulie Soda mpe na mchepuko makini akipewa penzi huanika siri zote za Daud Maliyamungu Bashite.
 
Siri nyingi za Daud Maliyamungu Bashite huvuja kutokea kwa Le mutuz na cyprian Musiba ambao ni wapambe Nuksi lakini wajinga na washamba sana
 
Hayo yalinunuliwa mwaka gani? Hiyo infiniti inaoneka niya siku za karibuni.

I doubt kama ofisi ya mkuu wa Mkoa ilishawai kununua Range Rover kipindi cha Makonda!

Kama ni kweli ofisi imenunua hayo yote kwa muda mfupi. Magufuli ana mwacha, huo ni upendeleo wa wazi wazi!

Kumbuka Daud Maliyamungu Bashite ni Naibu Rais pia Dili nyingi za mtukufu malaika toka chato zinapitia kwake anapiga panga kisha anapeleka
 
Katika watu watakaokuwa na wakati mgumu baada ya awamu hii kupita ni huyu jamaa.Aombee Jiwe ajiongezee muda wa kukaa madarakani kikatiba.Jamaa mpaka Mabregadia wajeshi wanamwogopa.
 
Nimekuelewa mkuu. Ila ajue yeye hana kinga.
Ukipata tumia ukikosa jutia, kwani Kuna binadamu baadae wagekuja Sema mjinga yule aliacha kutumia pesa hata Kama ameingia jela angekuwa amekula ona sasa amekosa hela na anaenda segerea...
 
Takukuru kutwa kukimbizana na wauza karanga huku kuna mijitu inakula pesa za walipa kodi na inashirikiana na wanaharamu wauza sembe.. Ipo siku kuna watu wataburuzwa kama magunia ya mpunga
bashite na mkeo siku yenu yaja
Tutasherehekea pale Sheraton oops wamebadilisha jina pale tutakaposikia kunguru kanasa kwenye tundu la choo
 
Kuna wengne hawagusiki
 
Back
Top Bottom