Tofauti ya miaka 18 inafaa kuoana?

Teh teh..Nikinyume cha sheria..Utafungwa..sheria ya mahusiano inasema unatakiwa kuoa mwanamke mwenye nusu ya miaka yako ukijumlisha na saba..Mf We una miaka 40..So ni 20+7...Unatakiwa kuoa mwanamke kuanzia miaka 27 na kuendelea...
 
Hiyo combination nzuri sana, yaani hapo ndio mnaendana katika utamaduni wa ndoa. Mwanaume unapokua mkubwa kumzidi mwanamke ni vizuri maana heshima,hekima,busara vitatawala ndoa. Ndoa zetu siku hizi zinakuwa timbwilitimbwili kutokana na kuwa za umri mmoja akili zinafanana.
Bali ukumbuke mwanamke akifikisha miaka 40 ndo anatamani kichapo cha kufa mtu; sasa wewe na umri wa miaka 60 itakuwa soo la nguvu lazima madogo wamgalagaze kiroho mbaya: muosha huoshwa
 
Age is not the ishu kwa yeye ila je ukifika 50 yeye ndo anataka mambo wewe umechoka liangalie hilo
 
Teh teh..Nikinyume cha sheria..Utafungwa..sheria ya mahusiano inasema unatakiwa kuoa mwanamke mwenye nusu ya miaka yako ukijumlisha na saba..Mf We una miaka 40..So ni 20+7...Unatakiwa kuoa mwanamke kuanzia miaka 27 na kuendelea...
Kwa muktadha huu mvulana wa miaka 24 haruhusiwi kuoa msichana wa miaka 18; kwa maneno mengine msichana wa miaka 18 lazima aolewe na mvulana wa miaka 23 au chini ya hiyo
 
Habari,

Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
Mfano;
Mr. R. Mengi, nadhani wale pia wametofautiana umri mrefu tu but wanaishi
 
Tatuta mzee mwenzio... Hapo unatafuta headaches tu.
Kuna mwenzio yanamsibu kitaani huku kaacha analogi mwenzake kakurupukia digitali binti anamwendesha tu.
 
Kwa muktadha huu mvulana wa miaka 24 haruhusiwi kuoa msichana wa miaka 18; kwa maneno mengine msichana wa miaka 18 lazima aolewe na mvulana wa miaka 23 au chini ya hiyo
Yeah..18 bado katoto..Mara nyingi ndoa hizo hazina afya
 
Habari,

Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?

Dah! hii kali. Umri huo ndio kwanza umepata mchumba wa kuoa mwenye umri wa miaka 22!

Miaka yote hiyo ulikua unapiga shule au maisha tu? wenzako wanaoitafuta hiyo 40 tu tayari majukumu ya familia yanawaendesha puta na hata wengine tayari wana wajukuu halafu wewe mwenzetu bado unafikiri upo ujanani!

Hata hivyo suala la mtu kuoa na maamuzi yake kwa ujumla yako mikononi mwa mhusika mwenyewe.Vile unavyoona inafaa ndivyo unavyotakiwa kufanya.Mwamuz wa mwisho ni wewe pamoja na mchumba wako.
 
Hiyo combination nzuri sana, yaani hapo ndio mnaendana katika utamaduni wa ndoa. Mwanaume unapokua mkubwa kumzidi mwanamke ni vizuri maana heshima,hekima,busara vitatawala ndoa. Ndoa zetu siku hizi zinakuwa timbwilitimbwili kutokana na kuwa za umri mmoja akili zinafanana.
Hewallaaaah...
 
Bali ukumbuke mwanamke akifikisha miaka 40 ndo anatamani kichapo cha kufa mtu; sasa wewe na umri wa miaka 60 itakuwa soo la nguvu lazima madogo wamgalagaze kiroho mbaya: muosha huoshwa
Mh kweli??!! Sio kwamba ndio hata kimoja kwa wiki kwake sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom