Tofauti ya curry powder na masala

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,319
50,534
Curry si lazima iwe na viungo vyovyote vya kusagwa bali huwa na pilipili hoho, karafuu, maganda ya iliki, vijiti vya mdalasini, karafuu, na pilipili.asili yake west asia

Neno Masala, kwa upande mwingine, linamaanisha mchanganyiko wa viungo. Inarejelea mchanganyiko wa viungo vya mbegu za ardhini kama coriander na cumin na asili yake ni india.
 
hapana
 
Curry powder si ndiyo binzari kwa kiswahili?
 
Na periperi masala je? viungo vya kupima pale mlimani city vitamu, nipo najaribu vyote hata ambavyo nilikua sivifahamu
 
Back
Top Bottom