ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 6,688
- 15,993
Hapo nimekupata vyemaUpo Sahihi kabisa
Lakini hoja inabaki palepale Mjinga hawezi kuigiza NI Mwerevu
Kûna àmbao walijaribu wakaumbuka
Mfano wanasiasa mara kadhaa wamekuwa wakijaribu kuwa werevu hata kwèñye mambo ya dini ndîo unasikia madesa yakivurugwa. Rejea ishu ya Spika ndugai na hadithi yake kumhusu Yesu
Kwamba mwerevu wa taaluma Fulani kutaka kuvamia na kujifanya kujua taaluma nyingine
Hapo sawa
Ila kwenye maisha ni vyema kujitahidi kujua vitu vingi kidogo mfano mambo ya uchumi, sheria, siasa, michezo, technology, dini n.k hata kama sio Kwa kiwango kikubwa japo uwe na ABC