Topintz
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 166
- 656
Sasa kama mimi nisiyejua huo mkataba, di auweke wazi tuusome au uweke wewe.
Sio kila mtu wa nchini hapa amesoma kwa mkopo, fahamu hilo uliweke kichwani mwako.
C tayar imeelezwa mkataba unasema unalipa 8% ya mshahara wako lakin juzi kati wamevunja hicho kipengele sasaivi wanakata 15%. Au bado unataka maelezo zaidi? Kwenye mkataba na loan board kuna vipengele vingi lakini kilichovunjwa ni hiko. Sasa mtu alikubaliana akatwe 8% alaf anaanza kazi na mshahara wa laki 5-6 unakuja kukata 15% huyo mtu hata nyumba hajajenga wala hajaoa. Au we unaona ni sawa haya mabadiliko ya mkurupuko? And Kama unataka kuvijua vipengele vingine unaweza pitia kwenye site ya HESLB. Alaf tatzo lako mpaka watu wanakukosoa kila siku ni kwamba unakujaga na shombo nyingi, kila kitu wewe unajidai unatetea serikali. Mengine bora uulize au ukaushe, serikali sio malaika kwamba haikosei.