bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,958
Kufungua kesi mahakani ni moja ya majukumu yake?Mleta uzi nadhani ni vyema ukasoma sheria iliyoanzisha TLS ukafahamu majukumu then uandike uzi upya ili ulete maana. Kwa jinsi ulivyo sasa unaoonesha kabisa ulikurupuka.