Invarbrass
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 504
- 111
Unfortunately Mwanakijiji they wont resign and no 'force enough' to push them out
Mkuu Mwanakijiji, I agree the whole leadership @ MOHSW has to go, for clearly mishandling a very simple Intern issue in the beginning which ballooned to the Doctors crisis we have now.
But the MPs POSHO, is where heads really need to roll. PM & Speaker have both lost credibility by paying MPs, new rates without the president's signature. This is not only wrong, but actually criminal.
Pinda amekwenda bungeni na kusema serikali itaongeza posho, na Spika akamwamini na kuongeza posho. Lakini Rais anasema hajakubaliana na hilo, kwa hiyo PINDA hawezi tena kubaki kuwa kiongozi wa serikali bungeni sababu amepingana na serikali wazi wazi bungeni kuhusu POSHO.
Nadhani Mwalimu Nyerere aliforce hand ya Malecela kwenye same scenario ya kutofautiana na Rais kwenye mambo mbele ya Bunge.
anyways, sabau TZ hatuna mambo ya uwajibikaji wala kufuata sheria, mambo yatakuwa mdundo tu.
MKULLO Also has to go. SERIKALI inafilisika sababu MOF inaongozwa na kichwa maji. Napendekeza Abdallah Kigoda apewe hii wizara ASAP ili kuwe na mipango madhubuti inayoeleweka kutoka kwa mtu aliyebobea kwenye uchumi na mwenye track record ya kulead Planning Ministry wakati wa Mkapa na kuonyesha uwezo wa hali ya juu.
May Almighty God Bless Tanzania
We have waited and the wait is now over. These three must resign if they have any sense of duty to our nation left in them. They must be sacked if that sense of duty is left in the hearts of hearts of their superiors. For how long shall a nation be forced to kneel before the alter of the corrupt ruling elite? For how long shall incompent and mediocre leaders be left to reign as there is no one in the whole nation who can take them to task?
The three top officials at the MoHSW have shown that they are untouchable and the protection they enjoy within the government is absolute. Since the beginning of the current doctors' strike the trio have continue without a sense of 'urgency of the now'. Once the three are sacked/resign then the constructive negotiations between the striking doctors and the government can start and I believe the firing/resignations will assure the doctors that the government is serious enough and will make them return to work while the other issues are being hammered out.
So, time is up; its time for you three to go!
hapa umeongea mkuu... Kuondoka kwao siyo suluhu ya tatizo lililo! Tukumbuke kuwa hawa viongozi wa sasa siyo kwamba wao ndio wametengeneza hii structure ya wizara ya afya iliyopo. Kila kitu kilikuwepo, they have just taken over..they are unlucky sababu haya mambo yameibuka kipindi wao wakiwa ndio viongozi wa wizara husika. Yangeweza kumkuta yeyote ambaye angekuwa anahold office kipindi hiki. Tuwape muda, hili suala especially la miashahara na posho, linaaffect serikali yote kwa ujumla! Imagine leo doctorz wanalia unawaongezea wanachotaka...what do u expect? Kesho waalimu watalia, wahasibu watalia, wakandarasi watalia na hata wahudumu!! Chamuhimu ni tuwape muda viongozi husika...hope watafika pazuri na pande zote mbili zitaelewana!
What the hell are them called wabunge doing in Dodoma?
Hapa umeongea mkuu... kuondoka kwao siyo suluhu ya tatizo lililo! Tukumbuke kuwa hawa viongozi wa sasa siyo kwamba wao ndio wametengeneza hii structure ya wizara ya afya iliyopo. Kila kitu kilikuwepo, they have just taken over..they are unlucky sababu haya mambo yameibuka kipindi wao wakiwa ndio viongozi wa wizara husika. Yangeweza kumkuta yeyote ambaye angekuwa anahold office kipindi hiki. Tuwape muda, hili suala especially la miashahara na posho, linaaffect serikali yote kwa ujumla! Imagine leo doctorz wanalia unawaongezea wanachotaka...what do u expect? kesho waalimu watalia, wahasibu watalia, wakandarasi watalia na hata wahudumu!! Chamuhimu ni tuwape muda viongozi husika...hope watafika pazuri na pande zote mbili zitaelewana!
huyu Vasco ananiudhi natamani nimtukane matusi ya nguoni, hana huruma hata kidogo.Je huyu JK naye tusemeje, alliondoka kwenda davos Uswisi na Ethiopia mgomo umeanza karudi usiku wa juzi kesho yake badala kufanyia kazi walau hata kutoa kauli kama raisi yeye kaamkia kwenda kufungua tawi la benki ya FNB, JAMANI MIMI HAIJANIINGIA KICHWANI KABISA inamaana ufunguzi wa tawi benki unamaana na umuhimi sana kuliko vifo vya watanzania na mgomo wa madaktari waliompigia KURA, ??????
The three devils have no conscious at all, hence the only way is to evict them.Mwanakijiji,
Things are not working like that. You can't force someone to resign or to leave the office. For some guys resigning means you are weak, you can't rectify/solve problems at hand. Let's wait.. .its up to them to evaluate n make the so called hard decision depending on their concious!
With the current on going situation, I think we can't blame just one part. Both parties doctors n government should be blamed for failing to reach into an agreement!
Hawa hawana uwezo wa kufanya hata kama utawapa ushauri mzuri kiasi gani! Akili yao ni mbovu kama ulivyo wewewajiuzulu ili uteuliwe wewe?kwa nn usiwape mawazo wafanye kazi.
Opportunists always clap their hands to please their immediate masters.I may be fooled easily but stupidity is norm to the jesters. To prove it, you have to make them proud that they succeeded in foolishness. And those clapping? ...