TID pokea ushauri, rudi kwenye fani ya utangazaji

Eti Kuna kipindi alifungwa kisa kampiga mtu. Nikikumbuka nacheka Sana, yaani nipigwe na TID mpaka niite polisi? Dunia haiishi viroja.
 
TID is a really deal.
Ni pure talent,muimbaji wa kiwango cha juu sana.
Sijui kwanini hataki kujiweka anakostahili.
Rahisa
Siku kama hizi
Zeze
Understanding
Mtanzania mie
Dah!!
Mkuu huo wimbo "Tanzania mie" wakati anautoa kwa Mara ya kwanza ndio nilikuwa nje ya nchi kwa Mara ya kwanza kule Romania!...nilikuwa nausikiliza kila Mara maana ulikuwa mtamu sana kwa sie wabongo!

Da! Myama TID sauti ya dhahabu umetuangusha sana shabiki wako!

Ngada si dili, kuleni majani ya maboga bora!
 
Nakumbuka enzi za zeze nilienda kumuona tid kama fun...tid alikuwa mkali sana, alikuwa na swagg, voice, look yaani alikuwa package.
 
Alipofikia Diamond, TID angeweza kufika kitambo sana lkn ndo hivyo jamaa aliridhika kuwa Top In Dar not even East Africa
 
Back
Top Bottom