Theresa May awa rasmi Waziri Mkuu wa Uingereza

Kabisa..Si ruhusa kwa Mkatoliki...Ndio maana Tony Blair alipomaliza muhula wake akabadili dhehebu kutoka Anglican to Catholicism...
kwa hiyo yule waziri mkuu aliepishana na papa kauli ndo kasababisha yote haya hadi kizazi hiki? kwani ni sheria imepitishwa? kwamba lazima awe muanglikana? mmh sawa bana ila ulaya ni ulaya tuu ingekua hapa africa tungeshakatama mapanga kitambo sana
 
Ndio hivyo ndugu...
Nikama nchi ya Lebanon Rais lazima awe Mkatoliki na Waziri Mkuu awe Muislam wa madhehebu ya Sunni(sina uhakika kama ni Sunni au Shia)

Au nchi kama Norway PM lazima awe Mlutheri na Lutheran ndio state religion..
 
Ut
Wajuzi wa siasa, tujulisheni faida na hasara za huyu mwana mama kuwa PM.

Ila natabiri kuona mchangamano wa mambo utakavyokuwa hapo mbeleni wakati dunia hii ikiwa inaongozwa na siasa za akina mama watatu ambao wataongaza dola 3 kubwa za:-
1. Ujerumani - Angela Mikhail
2. Theresa May - Uingereza
3. Hillary Clinton - USA (natabiri ndiye atakuwa Rais)
Utabiri wako mpaka umeshafeli.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Brexit! Si walisema kuwa Cameroon ataachia hatamu September? Imekuwaje?
 
Nitajuaje....? Ila wadau wanasema mleta post amekurupuka...
Uwe unasoma nakuelewa watu walichokosoa swala lilikuwa kurekebisha dhehebu la Theresa May.

Hayo yakusema zaidi ya Anglican aiwezekani kuwa waziri mkuu sio hoja iliyokosolewa Ed Milliband was Jewish na kaingia kwenye uchaguzi kama kiongozi wa Labour wangeongoza viti vya ubunge angekuwa PM.

Juzi mwislamu kwa mara ya kwanza kachaguliwa mayor wa London, usichanganye unsubstantiated believes zako na kilicho kosolewa.
 
Kwahiyo Bi Tereza ni Mkatoliki..
 
Kwahiyo Bi Tereza ni Mkatoliki..
Kuna watu wakija Tanzania wanadai kwenye mishe mishe unaweza kukutana na mtu "mchoshaji" unaelewa maana ya hilo neno kwa watoto wa mjini. Kama hujui ngoja nikusaidie ni mpuuzi mmoja anaejiona kazibuka kweli.
 
Ok, though sidhani kama uAnglican or ukatoliki ni kigezo cha raia kuwa kiongozi wa UK au Italy/ Portugal respectively, ila inatokea hivyo kwa kuwa asilimia kubwa ya raia wa huko ni waumini wa madhehebu hayo.

Vizuri umetumia neno "sidhani".
Ukweli ni huo England ni Anglican country.
Dini ya kiongozi wa taifa kwao ni muhimu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom