Kwenye maigizo mambo mengi huwezekana, sababu watu huwa wanayaleta katika muonekano mawazo yao, ila kiuhalisia hayapo. Kwenye maigizo mtu mmoja anaweza kuwapiga watu mia peke yake na kuwaua bila kutumia silaja ya moto. Sasa akili zinatakiwa ziwe chap kung'amua mambo na kujua yapi maziwa na yapi ni tui la nazi.Time Traveling idea kubwa wengi tuliyonayo ni kupitia movies...