There is no Time-Travel

I believe in time travel. Ni vile technolojia yetu ipo chini kwa sasa. Vipi pale tutakapokuwa na technolojia itakayokuwezesha kusafiri at least kwa 80% ya kasi ya mwanga into the space..... Hapa ndipo tutakaposhuhudia uhalisia wa Time travelling

However, I don't believe going in the past.... My believe is going to the future my travelling at very high speed out of the earth and come back on the ground. People who were in similar age with you, they will be much older. This is possible, it's just a matter of technology.
Exactly.
Time has got only one direction, which is forward.
 
Kumekuwa na Gumzo kubwa duniani kufuatia nadharia inayodai kuwepo kwa uwezekano wa kusafiri kwenye muda (Time travel).

Ingawa kuna mvutano mkubwa juu ya ukweli wa hili jambo kwa upande wangu naona haliwezekani kwasababu zifuatazo;

Dunia ni moja
Dunia ni moja na matukio yote yanayotokea hutokea kwa muda mmoja na hupita, sasa ukirudi utarudi wapi?

Future bado haijatokea
Sisi ndio tunapelekea future kutokea sasa inawezekanaje hiyo future uione kabla haijafanyika?

ni mtazamo tu..
Niko tayari kukosolewa
Mkuu una ufikiri mzuri lakini bado uwezo wako wa kufikiri ni mdogo (ashakum siyo tusi)

Time travel kuona future ni jambo la kawaida hata watabiri wa kawaida hilo huliona.
Inahitaji maelezo marefu kidogo nikiwa sehemu nzuri nitajjaribu kukujjibu
 
Mkuu una ufikiri mzuri lakini bado uwezo wako wa kufikiri ni mdogo (ashakum siyo tusi)

Time travel kuona future ni jambo la kawaida hata watabiri wa kawaida hilo huliona.
Inahitaji maelezo marefu kidogo nikiwa sehemu nzuri nitajjaribu kukujjibu
Ni nani huyo anayeona future kabla haijatokea?
Enlight me please.
 
Kumekuwa na Gumzo kubwa duniani kufuatia nadharia inayodai kuwepo kwa uwezekano wa kusafiri kwenye muda (Time travel).

Ingawa kuna mvutano mkubwa juu ya ukweli wa hili jambo kwa upande wangu naona haliwezekani kwasababu zifuatazo;

Dunia ni moja
Dunia ni moja na matukio yote yanayotokea hutokea kwa muda mmoja na hupita, sasa ukirudi utarudi wapi?

Future bado haijatokea
Sisi ndio tunapelekea future kutokea sasa inawezekanaje hiyo future uione kabla haijafanyika?

ni mtazamo tu..
Niko tayari kukosolewa
Time as an absolute entity, in the way you are describing it, is not real.

Read Einstein's Relativity.
 
Hiyo ni theory.
Unaielewa inasemaje?

Unaelewa kwamba hata 1 + 1 = 2 ni theory?

Unaelewa kwamba kwa miaka takriban 100 iliyopita watu wa kika aina wamejaribu kuikosoa na wakashindwa?

Utabisha kwamba katika base ten math 1 + 1 si 2, kwa sababu hiyo ni theory?
 
Unaielewa inasemaje?
Haijalishi lakini still ni theory.
Unaelewa kwamba hata 1 + 1 = 2 ni theory?
Kwanini iwe theory?. Unatambua definition ya theory?
1+1=2 ni uhalisia na haiwezi kuwa theory.

Unaelewa kwamba kwa miaka takriban 100 iliyopita watu wa kika aina wamejaribu kuikosoa na wakashindwa?
Kushindwa kuikosoa theory hakuondoi uhalisia wa theory.
Utabisha kwamba katika base ten math 1 + 1 si 2, kwa sababu hiyo ni theory?
Sitobisha sababu sio theory.
 
Haijalishi lakini still ni theory.

Kwanini iwe theory?. Unatambua definition ya theory?
1+1=2 ni uhalisia na haiwezi kuwa theory.


Kushindwa kuikosoa theory hakuondoi uhalisia wa theory.

Sitobisha sababu sio theory.
Unaelewa kwamba 1 + 1 = 2 ni number theory?

Ushawahi kuiona hiyo 1 ?

Kwenye Einstein's Relativity, una dismiss wakati hata hujui inasemaje?
 
Ni nani huyo anayeona future kabla haijatokea?
Enlight me please.

Alright, katika uzi huu ninajitahidi kuusogeza hatua kwa hatua kufunua haya yote kuhusiana na kusafiri kiwakati lakini naona ninashawishika kueleza mengine hapa...

Utaona katika uzi huo, historia ya kujinasibu na 'Kusafiri Kiwakati' inaanzia katika kada za kijeshi za taifa la Marekani na Mataifa ya Ulaya.

Katika huo uzi, kuna gumzo la kimarefu kuhusiana na jinsi kusafiri kiwakati kunaingiliana na 'akili' ya mtu... Ambayo mule yanasubiri ni namna gani kusafiri kiwakati kwa namna ya mitambo kunatumia namna ya kucheza na mawimbi sumaku ya mwili na ubongo; pia namna ya mifumo ya ngamuzi za kikwantumu, yaani kwa wanaozungumza kiingereza utasikia 'Quantum Computing'... Labda ni adimu kusikia 'quantum computer' ni kitu gani... Kwenye ule uzi, hili litakuja kudadavuliwa. Jua kuwa Ngamuzi za Kikwantumu pia ni jambo utaloweza kusikia ni 'la kinadharia tu' lakini jua kwamba ngamuzi za kikwantumu zipo na ni chache sana duniani... Hazitajwi kuwepo kwa sababu matumizi yake hasa yanafungamana na mambo kama haya 'kusafiri Kiwakati' na 'kutelepoti'... Ngamuzi za Kikwantumu zinatumia uwezo wa kuchakata habari kwa kutumia 'vikadirishi mchakato' vya 'kialimwengu sambamba'... Yaani Ngamuzi za Kikwantumu zinafanyakazi kama zipo ulimwengu huu na alimwengu nyingine zote zisizodhahiri kwa wakati mmoja--basi kusema kujinasibu na ulimwengu wa mbele, nyuma na leo kiwakati...

Ngamuzi zote za Kikwantumu zilizopo duniani kwa sasa zipo kimsaada... Binadamu wa leo bado hatuna uwezo wa kutengeza Ngamuzi za Kikwantumu... Ndiyo unaweza kusoma kisa cha kiti cha Montauki na utata wake; viumbe watu waliokitoa kiti kile walikuwa ni wahuni -- walifanya kwa hila; ndiyo maana majaribio mengi kwa mujibu wa kiti hicho hayakuwa na 'uhakika' wa jambo--japo kilikuwa na uwezo wa kuunganika na mawimbi ya mtu na kumuweka mahala pa kutobozea nje kiwakati, namna ya kuthibiti wapi unakwenda na vipi utarudi kwenye nukta uliyoanzia safari haikuelekezwa... Wapo viumbe watu wengine ambao wamewapatia baadhi ya watafiti wa tekinolojia na sayansi za hali ya juu, tekinolojia na maarifa kwa ajili ya kufanya 'uhakika' wa mambo kama telepotia ama kusafiri kiwakati. Haya ni dhahiri kwa baadhi ya wanasayansi na waaifiti wa kimkataba kwa mashirika kama 'Boeing Phantom Works' na 'Skunk Works' kwa Lockheed Martin. Viumbe watu hawa si tu wametoa tekinolojia za kutobozea, lakini baadhi ya wanasayansi hao wenye mikataba ya utafiti na maendeleo ya kitekinolojia kwa mashirika hayo wamepata kupewa na hata kung'amua alogarithimu za kushugulika na ngamuzi za kikwantumu ili kuweza kunufaika na tekinolojia za 'malango' ya 'kinishati-habari' ya ulimwengu wote mzima... Kwenye ule uzi, mbele tutakuja kuwatambua baadhi ya wanasayansi hawa na mmoja wa hao, tutatumia maarifa yake kurutubisha uwanja wetu wa maarifa ya haya kwa lugha ya Kiswahili... Itoshe kupitia uzi ule kwa mtiririko wake ili ujue na uelewe ukweli wa mambo unakuja kwa sura ipi.

Kwa sasa na hapa, ninamleta mzee Courtney Brown, Ph.D. huyu mzee ni 'Mswahili' mwenzetu; anazungumza Kiswahili vizuri tu... Atuandae na maarifa zaidi kuhusu 'akili' na 'kuona nje ya wakati' ama 'mbali nyuma' ama 'mbele ya wakati'. Yeye mzee Courtney ni fundi wa ujuzi huu pia pasipo kutumia tekinolojia... Anafundisha haya yote kupitia taasisi yake ya Farsight Institute; unaweza kutembelea hiyo tovuti na utakuta miradi mingi ambapo wametazama mambo nyuma, mbele ya wakati ama nje mbali kabisa na mfumo wetu wa jua... Unataka kujua wameona nini kwa visa kama maisha ya mtu kama Yesu, Musa, Martin Luther King, Ziusi wa Wagiriki, Mapiramidi ya Misri, n.k? Jiandae kusikia, historia 'mbadala'...

Karibu katika ulimwengu wa 'Kusafiri Kiwakati' na 'Ukiona Mbali'...



Hmmmm
 
Sababu ni maigizo, maigizo yana sifa mbili kuu, nazo ni :

1. Kuongeza katika uhalisia au
2. Kupunguza katika uhalisia

Huwezi kupata uhalisia katika Maigizo, bali unapata mfano tu.
ila maigizo yanaweza kuwakilisha uhalisia wenyewe ulivo?
 
Back
Top Bottom