Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,047
- 120,218
Wanabodi
Mzee wa masauti,
Nimesikia sauti ikiniambia niwaonye Chadema mapema tuu, kwenye huu uchaguzi wao wa mwenyekiti, this time around, wasithubutu au wasifanye ujinga wowote au janja janja yoyote!, wafuate tuu katiba yao, sheria taratibu na kanuni, uchaguzi upite salama. Wakileta ujinga wowote, wajue hiyo tarehe 21 Januari, kutakuwa ni hakuna uchaguzi!.
Kwa kipindi cha miaka 20, uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema, ndio unafanyika uchaguzi kweli, hizo chaguzi nyingine zote za mwenyekiti zilikuwaga ni chaguzi zuga tuu!.
Nimeisikia sauti hiyo, wakati nikichangia bandiko hili Kwanini Tundu Lissu hakutangaza nia mapema ya kugombea uenyekiti wa Chama taifa?
Baada ya kutofautiana na Mbowe, Mzee baba akaamua kumflush TL out of Chadema kwa nafasi yake kumpa Wenje, ndipo Lissu akaamua kama mbway na iwe mbway, mmenianza, mimi namaliza!, akaamua kumvaa Mbowe!.
Sauti hiyo haisemi kitatokea nini mpaka uchaguzi usifanyike, na huwezi kuuliza chochote kwenye the voices from within, ni unasikia tuu sauti, inakuambia kitu, haikuambii sababu wala huwezi kuhoji chochote.
Hivyo na mimi nimetimiza wajibu wangu kusema nilichosikia naomba msiniulize chochote ni kusubiri mpaka hiyo tarehe 21, uchaguzi ufanyike, ndipo tuulizane.
Jumapili Njema.
Paskali.

Ni kweli Lissu hakuwa kabisa na nia ya kugombea uenyekiti, nia yake ni kutetea umakamo.Lissu aliamua kuficha nia yake ya kuutaka uenyekiti wa Chadema na badala yake akatangaza na kutia nia nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chama mapema zaidi. Hata alipoulizwa kuhusu uenyekiti alikataa katakata na kuapa kwamba asingempinga mbowe kwenye uenyekiti kwani amemsaidia sana.
Baada ya kutofautiana na Mbowe, Mzee baba akaamua kumflush TL out of Chadema kwa nafasi yake kumpa Wenje, ndipo Lissu akaamua kama mbway na iwe mbway, mmenianza, mimi namaliza!, akaamua kumvaa Mbowe!.
Ni kweli TL amecheza kama Pele ila anajua jinsi wanachama wao walivyo manyumbu, hivyo hawezi kumshinda Mbowe ila atawasumbua, na tena Chadema wawe makini sana, wakileta ujinga wowote, tarehe 21 January hakuna Uchaguzi.Katika hili Lissu amecheza kama Pele.