The US Presidential Elections-2012

...Wameshaanza kuweweseka, Michigan and Pennsylvania wameshabwaga manyanga...'Bama akichukua Ohio na Florida basi mchezo umekwisha.

The south is mostly Red, and one of the main reasons why, is because that is where most conservatives who believe that a nigger should not be in oval office. They believe that Mitt Romney can be a good president because he is white not because he is capable of being one. Obama has a bit of a chance in Florida because most of it's urban centres are populated with hispanics.

Obama has been in office for 4 years and he has suprised many, Romney mwenyewe amesema kuna baadhi ya mambo ya Obama anayafurahia, ndio maana haonekani kama ataleta lolote jipya. Americans will decide, but believe me ability and not skin colour, is what will determine who will be president.

Lakini ikumbukwe pia kuwa it is all about electoral college. The Americans are more smart than some of us think, they know who will be good for them.
 
Obama ni mbumbumbu wa uchumi. Nampa credit kwenye security .
Kivipi?hakuna rais aliyekutana na hali mbaya ya kiuchumi marekani zaidi yake yeye na Rosevelt during the great depression.Sasa sijui ni vigezo gani unatumia kusema hayo.
 
This election is over..we're just waiting for presidential inauguration on January 20, 2013.

~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*[h=1]Did Mitt Romney kill his own chances of becoming president with his reaction to the violence in Egypt and Libya?[/h]By CNN's Jack Cafferty:
Mitt Romney may have done himself in.
At the very least, the Republican candidate for president likely damaged his chances of being elected by the way he reacted to the violence in Egypt and Libya.

Andrew Sullivan of The Daily Beast suggests Romney's response makes him "unfit" for the responsibility of running the country.
Sullivan lays out the reasons why he thinks Romney should be disqualified from being president.

Including Romney's knee-jerk judgments, based on ideology not reality, his inability to back down when he said something wrong and his argument that President Obama sympathized with the murderers of America's ambassador to Libya.

Criticizing America's Commander-in-Chief while U.S. interests were still under attack, and Americans were dying, comes off as amateur and un-presidential, and might just be political suicide for Romney.

It's times like these when an unguarded comment can leave a lasting impression.
Compare Romney's response to how the 1980 Republican candidates for president reacted to the Iran hostage crisis under President Carter's watch.

As The Atlantic points out, when news broke that an effort to rescue the American hostages from the Tehran embassy failed Ronald Reagan said, "This is the time for us as a nation and a people to stand united."
George H.W. Bush went even further, saying he "unequivocally" supported carter and it wasn't a time to "try to go one-up politically."
Mitt Romney has been around long enough to know better.
 
Bubu my friend, it's too early to start measuring the drapes. Remember Dewey defeats Truman?
 
Kwenye debate, Obama ni kama Nyerere. Hakaukiwi maneno na pia ana mvuto wakati akiongea.
 
Kwenye debate, Obama ni kama Nyerere. Hakaukiwi maneno na pia ana mvuto wakati akiongea.

Mweh!

Hivi wewe ulifuatilia debates za Obama na Mama Clinton?

Mama alimfunika sana Obama sema tu hakuwa na kismeti.
 
Romney hana chake,Obama anongoza kwenye polls in all 8 swing states.Its the "Omentun",Romney wali mhumanize lakini wapi.Obama is going all the way.Tusubiri Romney atakuja na gia gani maana kaishiwa hoja.Akibanwa kwenye specifics of what he's actualy going to do,hana jibu,na saa nyingine ana dodge swali kijinga kabisa.Jamaa yuko kama robot,no wonder eti wanataka kumhumanize.What ajoke!

Commentator moja alisema hivi mara baada ya hotuba ya Romney ya kukubali kuteuliwa kuiwakilisha Republican, na nukuu. " lets be brutal, Romney failled to electrify the republican convention"
 
Commentator moja alisema hivi mara baada ya hotuba ya Romney ya kukubali kuteuliwa kuiwakilisha Republican, na nukuu. " lets be brutal, Romney failled to electrify the republican convention"
Hiyo brutality ndo inamwingiza mkenge sasa!Anakurupuka halafu sijui huwa hafikirii kabla ya kusema,hakuna siku ambayo akiongea hatemi pumba na kuonyesha udhaifu wake wa kutokuelewa issues kwa mapana yake.Yani tena ikija kwenye international issues,jamaa ni mtupu vibaya mno,sasa nashangazwa kwanini hana washauri,nimefuatilia,nikakuta kuwa washauri wake wote wa mambo ya nje ni wale wa Bush G.W.Lakini bado anonyesha naivette mbaya sana!Huyu jamaa ameshashindwa uchaguzi kabla hata haujaanza.
 
Hiyo brutality ndo inamwingiza mkenge sasa!Anakurupuka halafu sijui huwa hafikirii kabla ya kusema,hakuna siku ambayo akiongea hatemi pumba na kuonyesha udhaifu wake wa kutokuelewa issues kwa mapana yake...............
Obama anasema kuwa jamaa anafyatua risasi kwanza halafu ndipo analenga kwenye target yake, wakati risasi imekwisha enda hewani!

Nadhani yote hiyo ni sababu ya desparation; yeye aligombea kwa ego ya pesa tu bila kujua kuwa national politics zinahitaji busara zaidi ya mabavu ya pesa. Wakati akina Rush Limbaugh anatukana mtoto mdogo matusi ya nguoni, jamaa alishindwa kumkemea; nadhani huenda ni kutokana na makosa ya ububu wa wakati huo ndiyo sasa ameamka na kuanza kuropoka kwa kila tukio bila kutumia busara.
 
Obama anasema kuwa jamaa anafyatua risasi kwanza halafu ndipo analenga kwenye target yake, wakati risasi imekwisha enda hewani!

Nadhani yote hiyo ni sababu ya desparation; yeye aligombea kwa ego ya pesa tu bila kujua kuwa national politics zinahitaji busara zaidi ya mabavu ya pesa. Wakati akina Rush Limbaugh anatukana mtoto mdogo matusi ya nguoni, jamaa alishindwa kumkemea; nadhani huenda ni kutokana na makosa ya ububu wa wakati huo ndiyo sasa ameamka na kuanza kuropoka kwa kila tukio bila kutumia busara.

Mbona hicho ki Obama chenu na chenyewe hata hakijui kiseme nini...mara Egypt ni ally...mara sijui sio ally....

Na lini Obama kawakemea akina Keith Olberman, Ed Shuzi na ilk yao? Matusi wewe unayaona upande mmoja tu?

Mnachekesha kweli nyie.
 
Obama anasema kuwa jamaa anafyatua risasi kwanza halafu ndipo analenga kwenye target yake, wakati risasi imekwisha enda hewani!

Nadhani yote hiyo ni sababu ya desparation; yeye aligombea kwa ego ya pesa tu bila kujua kuwa national politics zinahitaji busara zaidi ya mabavu ya pesa. Wakati akina Rush Limbaugh anatukana mtoto mdogo matusi ya nguoni, jamaa alishindwa kumkemea; nadhani huenda ni kutokana na makosa ya ububu wa wakati huo ndiyo sasa ameamka na kuanza kuropoka kwa kila tukio bila kutumia busara.
Ni kutapa tapa kwasababu anaona anashindwa.Juzi kwa upuuzi wake,eti ameponda hadi stimulus mpya ya feds iliyotolewa na Ben Bernanke juzi na markert zikareact positively(dow,nasdaq).

Yani kama unakumbuka,jamaa alivyoingia madarakani tu,ikaanza ile movement ya birthers,ambapo azimio lao kuu waliweka wazi kuwa ni kuhakikisha Obama ana fail in everything kwasababu si mmarekani!

Sasa wana wasiwasi kuwa move ya feds itamfavor Obama zaidi,mkuu yani hawa ni watu ambao wako radhi kulifelisha taifa lao simply kwa chuki dhidi ya Obama!

Sasa kwasababu ni wazi kampeni ya Romney inaelekea shimoni,usishangae kusikia na kuona vitu vya ajabu ajabu na kauli za kipuuzi kuliko wakati wowote kwenye historia ya taifa la marekani.

Halafu hata wengi wa republicans hata hawajui plan ya Romney,wakiulizwa wanakiri hawajui,wale wanazi huwa wanarukaruka bila kujibu na kutoka nje ya point.Huntsman ambaye ni republican,amesema naye hajui plan ya Romney,wanazi wa Romney hawajibu kwa kuelezea hizo plan,badala yake,wana pin point kwamba Huntsman aliteuliwa na Obama kuwa balozi wa marekani huko China,sasa hapo sijui ndo kumemfanya kuwa liberal kama Obama?Ni vituko...

Halafu juzi,kwenye Fox news poll ambayo ndiyo yao republicans,Obama ameonekana kuongoza kwa 6 points from likely voters!Bill Oreilly akaongea ujinga,badala ya kutangaza matokeo tu kama channels nyingine wanavyofanya kwenye polls,akamleta mnazi mmoja mchangiaji wa Fox News ambaye eti anadai kuwa Romney atashinda uchaguzi,yani hivyo ndivyo Fox news walivyoamuwa kutangaza kuongoza kwa Obama kwenye polls za tv station ya republicans.

Romney hana lake I can bet whatever on this,ushabiki acha pembeni,kuna akili za wengine humu ni fyatu tu,sitegemei kuona mtu anaongea ukweli zaidi ya kumdegrade Obama na vijimatusi vya kijinga.Mwulize huyo mtu kama anatengeneza over $250,000,halafu utapata jibu how some of us ni wajinga kabisa na matope humu.Yani ushabiki tu.
 
Yule mwenye rangi ambayo ni nadra kuwa mtawala wa marekani
Ukiona mtu anamponda huyu jamaa bila kuweka plans za anyemtetea,basi wala usijisumbuwe.Ila nakupa hint,mwulize kama anatengeneza zaidi ya $250,000 kwa mwaka.Akisema ndiyo,basi ni haki yake kumtetea Romney.Akisema hapana,basi ujuwe ana matatizo ambayo huwezi kuya fix.Na wanaotengeneza chini ya hicho kiasi hapo juu marekani ni zaidi ya asilimia 90 ya wamarekani.Sasa hapo ndo utajiuliza maswali na usipate majibu.
 
Back
Top Bottom