Cendy
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 1,250
- 2,309
Hiyo hapo juu nimekusaidiNataka upate taarifa kama ilivyo,nikifupisha naweza nikapotosha.Ni taarifa nzuri sana,tafuta MB usome.Tamani kupata cream.




Hiyo hapo juu nimekusaidiNataka upate taarifa kama ilivyo,nikifupisha naweza nikapotosha.Ni taarifa nzuri sana,tafuta MB usome.Tamani kupata cream.
Hiyo hapo juu nimekusaidi![]()
![]()
![]()
![]()
hata website akuna, nahisi unataka upate taarifa kuto kwetu umesikia na kuadithiwa .
Wanadamu tunazo hatari nyingi zinazotukabili kwa sasa.Abiria wa Malaysia Flight 370 waliamini siku ile kwamba wangefika majumbani kwao salama.Hata hivyo haikuwa hivyo.Ipo hatari mbaya iliyokuwa mbele yao.kwa bahati mbaya hatari ile kama zilivyo nyingi siku hizi ni za kutengenezwa.Google"The truth behind Malaysia Airlines Flight 370" kujua kilichotokea.
hivi tukisomea hapa na tusiende google ndo kubweteka au?
Mkuu sio bure we lazima utakuwa mwalimu uliyefunzwa vyemaWanadamu tunazo hatari nyingi zinazotukabili kwa sasa.Abiria wa Malaysia Flight 370 waliamini siku ile kwamba wangefika majumbani kwao salama.Hata hivyo haikuwa hivyo.Ipo hatari mbaya iliyokuwa mbele yao.kwa bahati mbaya hatari ile kama zilivyo nyingi siku hizi ni za kutengenezwa.Google"The truth behind Malaysia Airlines Flight 370" kujua kilichotokea.
Jamaa kiazi sana huyo.Mkuu unataka tena tu Google wakati ushasoma? Tiririka ulichokisoma sie tujadili bhana MB yenyewe wanatoa 1 tuu.
Blaza umesahau kwamba wabongo wengi sio wote lkn! wamezoea kutafuniwa kumezewa na ikibidi kuny.........w..a!!Nimekuambia u-google.Maana yake ni kwamba nenda google halafu type "The truth behind Malaysia flight 370 "halafu search.Utapata uhondo wote hapo.Niki-summarize naweza nikashindwa kuleleta ujumbe sawa sawa.There is alot of information.Ni rahisi sana and quick.Na mimi sina MB za kutosha.
Angalau nimekuelewa kidogo. Una nia nzuri.Wala sina maana hiyo.Isipokuwa nataka upate taarifa yote intact.It is very fascinating.Nikiweka hapa ina maana ni summarize,which means unaweza usiipate taarifa kama ilivyo.Jamani nilichofanya kinatosha,sasa na wewe malizia.Ni kwa faida yako.