The testimony of Major Alphonse Furuma, Part 1

Sawa bwana umeshinda. Dunia inajua kuwa Kibeho iko ndani ya rwanda sio nje, na mauaji yamefanyika mwaka 1995, mwaka mmoja BAADA ya RPA kuchukua madaraka. Ila kwa vile ni wewe basi nakubali kuwa:
1. Interahamwe walienda UN wakaomba wapewe mateka wa kihutu tu ili watengeneze kambi ya wakimbizi inayotambuliwa kimataifa.
2. UN ikakubali ombi la interahamwe na kufanya Kibeho kuwa kambi rasmi ya wakimbizi wa ndani, na ikatoa askari wa Australia, Zambia, doctors without borders and other facilities.
3. Kuwa all estimated 5000 people waliouawa walikuwa either genocidaires waliouawa na RPF au victims of genocidaires. Na over 20,000 just "vanished".
Nasisitiza nakubali kwa sababu ni wewe tu ili mjadala huu uishe kwani najisikia vibaya kujadili na mtu mwenye roho mbaya as you, regardless kama ni kazi yako kufanya hivi au unafanya hizi propaganda bure.
For the rest of JF members pitieni huku:
jMali dunia nzima inafahamu kuwa paka ni muuaji aliyepitiliza kipimo. Baada ya vita ya 1994 jeshi la paka liliendeleza mauaji ya kutisha dhidi ya wahutu. Hata leo, ni kofia ya urais tu inayozuia paka kupelekwa kizimbani kujibu mashitaka. Watu wa Marekani na Uingereza ndio angalau wanamlinda, vinginevyo asingekuwa anaiba mbao na dhahabu na meno ya tembo na kuwapa bure USA na Uingereza saahizi paka angekuwa jela. Mauaji ya kimbari ni weapon kuu anayoitumia paka kuwamaliza mahasimu wake kisiasa na kijamii.Genocide imekuwa instrument kubwa kwa baadhi ya watusi kuwafunga na kuwaua wahutu wasomi na waliokuwa viongozi wa Rwanda kabla ya 1994. Kwa benefit zake za kisiasa, paka amechukua mafuvu ya marehemu na kuyaweka kwenye nyumba (museum) ili kuwadhalilisha tu marehemu. Vitabu vyooote vya dini vinasisitiza kuwa mtu alitoka mavumbini na atarudi mavumbini, sasa pale paka alipoweka sehemu za miili ya watu ndio mavumbini? Amewazika pale au anadhalilisha maiti ? Paka na jeshi lake ndio waliocommit genocide, today they are telling the world uongo uliokubuhu! Leo kwa sababu za kisiasa, watusi (baadhi) wa Rwanda na Burundi wanapuliza trumphet la genocide Burundi ili tu kumuondoa muhutu uongozini. Wao ndio wanaua watu then they turn back kuambia dunia wimbo wa mauaji. Let me tell you guys, this world is not fair ! Ninawalaumu sana wazungu, yaani wanatuharibia dunia then we are sing'ing and praise them for their nonsencical dids. Mwaka 1997 kama mtakumbuka, Tanzania ilitaka kuingia vitani na Burundi.Wanajeshi wa Tanzania walirundikwa kigoma ili kusubiri amri ya kushambulia, bado ninayakumbuka vizuri maneno ya Pierre Buyoya dhidi ya Tanzania. Alisema kwamba Burundi ni nchi ndogo lakini INAO uwezo wa kuichapa Tanzania. Kumbe hatukujua kuwa jeuri yote ile ya Buyoya ilitoka marekani, mkapa aliposhituka, akajua kuwa kumbe sera zake hazikuwafurahisha wazungu, haraka akawaruhusu kuingiza makampuni yao ya kinyonyaji vita na Burundi ikayeyuka fasta. Wanyarwanda wapo kifungoni,wapo chini ya mkono wa chuma wa paka. Kama dunia haitasimama kidete kuwasaidia kuondokana na nduli kagame basi wahutu na watusi wapenda haki simameni kwa miguu yenu, pambaneni mmwambie fashist paka enough is enough.
 
Back
Top Bottom