The One World Govt/New World Order: Is this thing for real?

thro, incitement of people who have lived well along each other and now turning to the biggest enemies and fight tooth to nail, deliberate creation of starving nations thro corruption,poor economies,attempt to break a world war 3 thro invasion of Iran and China,
 
Mkuu hapo kwenye red si kweli, New world Order is in global form-globalization and internationalization though theories nyingi zinaonyesha kuwa the people around/pushing it are those in masonic (freemanson) order and catholic church. So far there are already things operation in global forms
-Global financial policy including banking and transactions
-UN, ICC etc
etc etc

Kitu ambacho kitakuwa great success of NWO is One religion and One Currency-some say introduction of Euro currency was the preparation test.

There is a lot of theories on this issue and you have to be careful when you read them as some if not all are conspirancy theories; you can read some information here:
Government Propaganda and Exposing Satanism Witchcraft and the New World Order and www.greaterthings.com

Kaka Utingo,
Umeongea ukweli ambao hata Kanisa langu ninaloabudu wananukuu zinazosema kwamba Katoliki ni mojawapo wa watakaochoche hii NWO so we need to be very careful katika kusema bado juu ya jambo hili si kweli maana unabii uliosemwa kwenye BIBLIA na baadhi ya vitabu utatimizwa kama ilivyosema. Jamani tusome na tumwombe Mungu maana tunaishi zile siku za mwisho zenye hatari
Asnate kaka Utingo
 
New World Order basically ni Consipiracy, na haina strong mechanism to apply ktk kila nchi. New World Order ya sasa hivi ni kuwa na system moja, globalization, capitalism, reduce world population, nk. Lakini mpaka sasa hivi, NWO imeshafeli ktk kila nchi.
Kaka Utingo,
Umeongea ukweli ambao hata Kanisa langu ninaloabudu wananukuu zinazosema kwamba Katoliki ni mojawapo wa watakaochoche hii NWO so we need to be very careful katika kusema bado juu ya jambo hili si kweli maana unabii uliosemwa kwenye BIBLIA na baadhi ya vitabu utatimizwa kama ilivyosema. Jamani tusome na tumwombe Mungu maana tunaishi zile siku za mwisho zenye hatari Asnate kaka Utingo
tukiomba Mungu tukumbuke ndiye yule yule Mungu wa Wayahudi, Waislamu (Shia, Sunni, Answar sunna), Wabudha, Wahindu, Wakristo (Katoliki, Angilikana, Penteskosti, Sabato, 'Walokole' nk).
Badala ya kukurupuka na kila mmoja kung'angani kule aliposimama, kuna haja ya kutoka kwenye 'vyumba' tulimojifungia na kuiangalia vizuri dunia ya leo na ni nini hasa hii kitu NWO.
Mfano miaka 200 iliyopita si Wachina, wazungu, wahindi nk wengi walifikiria kuja kuishi sehemu ka Afrika na Waafrika pia kwenda huko, hii inatokea sasa sababu ya ulazima na uhalisia wa maisha ya dunia kwa sasa.
Sasa katika muingiliano huu kila mtu ana utamaduni, imani, dini, maadili, technology yake na katika kupractice haya na mengine ndipo analazimika kushirikiana na jamii zingine.

Je unadhani kuna uwezekano wa hizi jamii kurudia maisha ya hiyo miaka 200 iliyopita!? ...jibu ni HAPANA!!

Kwa hiyo kwa vile sote ni binadamu, tukimwamini Mungu mmoja (japo wengine wanadai 'mungu' wao ni mkali na bora zaidi ya wengine) aliye juu, wote tunahitaji elimu na maarifa, wote tunahitaji maisha bora lakini kikubwa ni kuwa haya makabila na mataifa yote, dini zote nk makazi yetu ni hii hii dunia. Na hatari zinazoikabili dunia leo haziwezi kutatuliwa na mtu au taifa moja ambapo karne za mwanzo wengi hawakujua hilo kutoka na hali halisi ya uelewa uliokuwepo.

Je, kuunganisha mawazo yetu kwa kusahau tofauti zetu huku tuki-appreciate wale wenye uelewa wa mambo fulani katika hiyo process si ndio NEW WORLD ORDER???????

Kwa kifupi hii kitu (NWO) haiepukiki bali zitabakia hizi theory nyepesi za USA, Freemason, ukoloni mambo leo nk lakini bila kujiuliza swali muhimu kuwa "who stoped you from colonising other"??

 
...na je, unajuaje kama "Mwisho wa Dunia" unamaanisha "the end of Old World Order" then towards the introduction of "NEW WORLD ORDER" yaani 'Jerusalem Mpya' kama ilivyotabiliwa kwenye Ufunuo wa Yohana!!????

Tuna haja ya kufikiri kwa akili zetu wenyewe badala ya kutegemea wengine ambao nia zao sio nzuri
 
Ni vyema yeyote anapotumia mtandao afahamu kwamba hamna siri tena katika Mwelekeo Mpya wa Dunia (New World Order), na dunia yaelekea kasi mno kupitia teknologia ya kisasa kumfanya kila binadamu awe na nambari ya kumtambua alioko duniani. Hamna njia ya mkato, ila kukataa kusajiliwa katika mikakato ya New World Order. Na usije ukadhani kwamba hii ni ndoto, manake New World Order ina viongozi wake, kama CFR, Bilderbergers, Bohemian Grove, na Illuminati.

Mbinu zao ni kupunguza idadi ya watu wanaokisiwa 350,000 kila siku kupitia magonjwa kama AIDS (Ukimwi), Malaria, TB, na Ebola. Theluthi kubwa ya hawa waadhiriwa ni WaAfrika. Changamoto kubwa inayowakabili viongozi wa nchi za Afrika ni kukinga nchi zao kutokana na uvamizi huu, (ambao ni wa kisiri), ukiongozwa na makampuni ya Wabeberu, ambazo zinaunda madawa ya kuzorotesha jamii za Wa Afrika pindi wamejivika kanzu za uungwana na wakinena msamiati wa usaidizi (Aid). Hamna tofauti ya ulaghai wao na ule wa Wakoloni, au Mabepari wa Utumwa (Slave traders).

Lakini wao hualikwa kila kunapokucha humu Afrika, ilhali wamekaba shingo za Wa Afrika, katika mapambano ya kisiri, wakitumia ukatili wao kuwahujumu waAfrika. Basi asieyejua, hutumia mtandao kufurusha picha, siri zao, na maoni yao kiholela, bila kuwaza mwelekeo wao wala kutafakari kwa nini nchi za Afrika hazirushi na kuhifadhi vyombo vya satelait angani. Ni mshangao pia nchi nyingi za Afrika zina ahidiwa fedha za "kujiendeleza" bora tu ziwe na "e-governance" - maanake ni ziwe na mfumo wa kutokuwa na siri yeyote. Lakini viongozi wa nchi za Afrika wanaokumbatia huu mwito hawajiulizi ni kwa nini nchi "zilizoendelea" hazina e-governance kwa hali hiyo ya juu vile vile.

SHERIASAFI FOR MAMBOGANI

Mkuu umenikuna sana kwa uandishi wako unaotafakali mambo kwa kina, kuna wakati nilikuwa nataka kuandika maoni kama ya kwako. Tatizo kubwa la viongozi wetu wa Kiafrica ni kukosa kuwa na foresight - yaani kitu chochote anacho shauriwa na mtu mweupe anakimeza RAW, ni Viongozi wachache sana wenye ubavu wa kukataa ushauri usio kuwa na tija kwa Africa- wachukulie viongozi kama: R.Mgabe, N.Mandela na the late M.Gaddafi basi kusema kweli hawa ndiyo walionekana wana msimamo na wanalitakia mema bara letu la Wafrica.

Ni jambo la kushangaza sana kuona nchi za mashariki ya mbali ambazo GDP zao zilikuwa chini sana wakati wa wanapata uhuru wao kuliko baadhi ya nchi za Africa, leo hii wameweza kuhunda magari,consumer electronics, communication satellites, ICT, ndege, very large scale intergrated circuits and what have you. Wengi wao wamesomea nyanja hizi Ulaya na Merikani na serikali zao zilihakikisha wanarudi nyumbani kufanikisha maendeleo ya nchi zao, na walipo rudi wakapewa motisha na nyenzo ya kufanyia kazi bila kuingiliwa na wana siasa - matokea yake ndio tunashudia sasa: Nenda Uchina, Thailand, Malaysia, Korea ya Kusini mataifa haya yanafanya mahajabu sana duniani siku hizi wanajulikana kama Tigers wa mashariki ya mbali - na si muda mrefu Uchina itafanikiwa kuipiku Merikani kiuchumi, sisi tunabaki kuzunguka zunguka na bakuri la kuomba misaada miaka nenda miaka rudi with no end in sight, what a shame!

Jaribu kufanya utafiti juu ya wanafunzi Wafrica walio soma courses moja na hao Wachina, Wamalysia nk huko Ulaya na Merikani, je, walipo rudi nyumbani Serikali zao zilikuwa zimejitayalishaje kuwatumia kikamilifu kwa ajili ya manufaa ya Taifa lao, mkuu nakuhakikishia hakuna kilicho fanyika na infact wala Serikali zao aziwafatilii kujuwa wako wapi na wanafanya nini! hawako interested nao hata kidogo ndiyo maana bara letu linaishia kuwa ni soko la bidhaa za nchi hizo tajwa na wala viongozi wa Kiafrica hawashtuki.

Nchi zetu hizi zinashindwa kuji-mobilize walao kuwaomba Wachina watupatie transponder kwenye satellite zao ya ku-cover foot print ya bara lote la Africa, hii ingesaidia sana katika mambo ya communication/IT, mimi nilisha sema hizi Fiber optic ni rahisi sana kuzifanyia sabotage kwa kuzikata mnaishia kupoteza muda mwingi kizi-splice, lakini satellites siyo rahisi kuzifanyia hujuma na ziko more reliable, nasikia Wanageria nadhani wamewaomba Wachina wawasaidie katika hilo na Wakenya wanajitahidi sana katika fani ya ICT wanatumia kikamilifu open source software kufanikisha kuhunda customised application programs za kuendeleza nchi yao na nyingine kuziuza nje, sisi Tanzania hilo hutuna sio kwamba wataalamu hawapo wapo tu tele tatizo letu ni ukosefu wa dira - nimejaribu sana kufatilia fani hii ya ICT utakuta ni nchi chache za Africa zinazo jitahidi katika nyanja hii, nchi zenyewe ni South Africa, Egypt, Kenya, West Africa especially Ghana na Nigeria wanabadirishana sana ideas bila kificho lakini nchi zilizo baki zimelala tu including 'am afraid TANZANIA.

Imekwisha pita karibu miongo mitano tangu nchi za Kiafrica zipate uhuru, kwani nini mpaka zama hizi tunashindwa kuhuda magari au injini hata ya cylinder moja, consumer Electronics, ICT, Agriculture etc hii inatokana na viongozi wetu kutowathamini Wafrica wenzao wenye taaluma za nyanja tajwa hapo juu, wengi wa viongozi wa Kiafrica hawana nia thabiti ya kuendeleza nchi zao katika fani ya siyansi na teknolojia wanayazungumza zungumza tu kwenye International forum hili waonekane nao wamo lakini hawako commited chochote, this is sad part of it. Mh. Jakaya Kikwete nadhani amekwisha ona udhaifu huo kwa kweli na anajitahidi sana kuli-address, nadhani atafanikiwa hopefully.

Viongozi wetu wanatukuza sana mambo ya siasa na wizi kuliko sayansi, wakumbuke kwamba hakuna nchi yoyote duniani imepiga hatua bila ya kuheshimu sayansi na tekinolojia. Wewe siku moja kama huko kwenye computer yako jaribu ku-trace route za packets zinako pitia mpaka upate web site ambayo unataka kuitembela hata kama iko nchini mwako, utaona inapitia kwa ISP wako inakwenda Gateway ya kitaifa, ikitoka hapo inakwenda Ujerumani au Uingereza alafu Merikani alafu inarudi nchini mwako kutafuta site ambayo hiko nchini mwako mwisho ndiyo inarudi kwenye computer yako na jibu, sasa hii inaleta taswila gani? kwani nini sites za humu Africa zisiwe routed humu humu Africa kuliko kupitia nchi za Merikani na Ulaya. Mataifa yenye nia mbaya na bara hili wanaweza kabisa ku-track mambo yote ya Serikali za Kiafrica na kujenga data base kubwa za kila raia aliyejiuga na mtandao wa simu au komputa na kuweza kutufanyia hujuma za kila aina wakiamua, mimi nashangaa Serikali zetu kushupalia mambo ya e-gvt sijuhi nini - hawajuhi hatari wanazo jipalia, waswahili usema asiye kujua awezi kukufanyia hujuma. Google hiko very popular lakini inatumika sana kukusanya profiles za watu na mambo anayo yafanya akiwa kwenye keyboard e.g sites unazotembelea mara kwa mara watu unao wasiliana nao etc wameongezea mbuni nyingine wanakwambia tupe namba yako ya simu hili tu-confirm e-mail yako na wanakupigia simu kweli, mwishowe database ya information zote inapewa usalama wa taifa wa Merikani katika hilo nani atabaki salama.

Mwisho nizungumzie ugojwa wa AIDS na Mbegu za nafaka:
  • Ugonjwa wa AIDS
    • Mimi toka mwanzo nilikuwa siamini kama ugojwa wa AIDS ulitokana na virus kutoka sokwe mtu wa msitu wa Congo, kama nakumbuka vizuri ugojwa huu uligundulika kwa mara ya kwanza huko San Francisco kwenye community ya mashoga kama nakumbuka vizuri-sasa wazungu hawa wanaweza kututhibitishia je kwamba ugojwa huu uliruka kutoka equatorial Congo na kwenda Merikani? Ukweli wa mambo ni kwamba AIDS virus vilitengenezwa na wana sayansi ya kijeshi wanao husika na Biological warfare, kama wanaweza kutengeneza anthrax, na virus vya ugonjwa wa smuts etc awawezi kushindwa kutegeneza virus kama hivyo, we sema labda ni utafiti which went wrong wakajikuta wametengeneza virus ambavyo wameshindwa kutengeneza kinga dhidi yake, au kinga wanayo lakini wamekaa kimya ili waendelea kupata funds za kufanyia utafiti wa uongo na kweli hili mradi siku zinakwenda na hela zinateketea, vile vile inawezekana walitengeneza virus hizi wakiwa na ajenda ya siri ya kupunguza idadi ya watu duniani especially Africans.
  • Mbegu za Nafaka
    • Makampuni ya mbegu za nafaka kama vile Cargil na Mossanto wanazalisha mbegu ambazo ziko genetically modified kiasi cha kuzifanya ziote na kutoa chakula wakati umezinunua kwao, lakini mbegu hizo hizo ukiziweka akiba baada ya mavuno ukitegemea kuzipanda tena azioti ng'o. Ukitaka kuzipanda tena lazima uende ukanunue kwao, sasa mbinu hizi chafu zikiachwa zikashamili nini kitakuja kutokea hapo mbeleni kuhusu mbegu za chakula! Si dunia itashikwa mateka na majambazi haya ya mbegu za chakula. Kuna GM seeds nyingine ambazo azina kuzuizi cha kuhota isipokuwa wameweka sheria kwamba wakikuta shamba lolote lina element ya mbegu zao katika mazao ya commercial farmers basi wakulima hao watachukuliwa hatua kali! hii ina maana hata ukiwa mbali sana na shamba ambalo lina GM seeds hata upepo ukipeperusha pollen grains za GM plants na ikatokea cross pollination kwa bahati mbaya, basi utashitakiwa na kupelekwa mahakamini na kuhukumiwa kifungo au kufilisiwa kila kitu! Kumbuka hawa jamaa wana ushawishi mkubwa katika Serikali ya Merikani na wana pesa nyigi sana kwa hiyo wanaweza kufanya lolote wapendalo bila wasi wasi, nilishihudia baadhi ya wakulima wa Canada na Merikani wanafikishwa mahakamani kwa kesi hizi hizi za kijinga na wanafilisiwa mali zao hili kuwatisha wakulima wengine wafuate masharti yao, hizi zote ni baadhi ya mbuni za Illuminati wako well organised - je ndugu zangu dunia inakwenda wapi. Wegeweza kufanya mabaya zaidi kama sio kuogopa Wachina na Warusi.
 
NWO, ni system ambayo ina lengo la kufanya dunia iwe chini wa system ya utawala mmoja kuanzia uchumi mpaka kijamii. Lakini katika hili kuna maandalizi ya kupokea utawala wa kishetani au the light bearer na naona wameshaanza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Ebu angalia vitu tunavyopenda, muziki, fashion za nguo wanawake nguo zinazo waacha maungo nje, wanaume makalio nje. Njoo katika movies, mazombies, angalia tomb rider kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo utaelewa kwenye tom rider kuna msg gani.
Tuje katika dini, sikia boko haram, alqaeda wanavyoua watu, kwa madai ya jihad. Jiulize hivi jihad inakuwa hivyo kweli? Au kuna watu wana tumiwa na watu flani wana washawishi vijana bila kujua nini ukweli wanajitoa mhanga wanaua watu na watu huku wanashangilia.
Mfano decapitation lile tendo la kumchinja mtu kama mnyama na kichwa kukishikilia mkono wa kulia huku damu ikichurizika toka kwenye kichwa na mkono wa kulia ukiwa umeshikilia kisu kilicho tumika. Tumeona waarabu wengi wakifanya hivi kwa madai kuwa watuma ujumbe kwa wamarekani lakini ukweli kile ni kitendo kinaitwa decapitation katika freemasons.
Tuje kwa makanisa, refer enzi za egypt kulikuwa na miungu watatu, baba, mwana na mama na hili lipo kwenye ukristo.
Ona misaraba inavyo valiwa na watu mashuhuri hata wakiwa ni waislamu, kama hakuvaa msaraba walau atakuwa na tatoo ya msaraba.
Mfano: tupac alikuwa mwislam lakini alivaa cheni ya msaraba na wengine wengi jaribu kufikiri, nini kipo nyuma ya hii.
Njoo kwenye hoja ya kuwa na dini moja dunia nzima.
Nina mengi ya kuongea ngoja niishie hapa
 
New World Order basically ni Consipiracy, na haina strong mechanism to apply ktk kila nchi. New World Order ya sasa hivi ni kuwa na system moja, globalization, capitalism, reduce world population, nk. Lakini mpaka sasa hivi, NWO imeshafeli ktk kila nchi.


unauhakika unaweza kutupa data juu ya hiki unachokisema?
 
Mkuu hapo kwenye red si kweli, New world Order is in global form-globalization and internationalization though theories nyingi zinaonyesha kuwa the people around/pushing it are those in masonic (freemanson) order and catholic church. So far there are already things operation in global forms
-Global financial policy including banking and transactions
-UN, ICC etc
etc etc

Kitu ambacho kitakuwa great success of NWO is One religion and One Currency-some say introduction of Euro currency was the preparation test.

There is a lot of theories on this issue and you have to be careful when you read them as some if not all are conspirancy theories; you can read some information here:
Government Propaganda and Exposing Satanism Witchcraft and the New World Order and www.greaterthings.com

Mkuu hapo kwenye nyekundu naomba msaada wa ufafanuzi naq uthibitisho kwani naona kama unanikwaza kiimani
 
Mkuu hapo kwenye nyekundu naomba msaada wa ufafanuzi naq uthibitisho kwani naona kama unanikwaza kiimani

Kaka
Atakaye kufahamu maandiko atafanikiwa kwa msaada wa Mungu.
Kaka mimi ni dada yako ambaye nimeguswa badda ya kusoma unasema umekwaza wala usikwazike kaka KATIKA MAISHA YAKO PENDA KUFAHAMU UKWELI UNAOZUNGUMZWA KWA KUITUMIA BIBLIA NA MAOMBI usijali kwamba kile unachokiamini mbona kinasemwa ? Kubali kufanya uchunguzi juu ya kile kinachosemwa na kwa msaada wa Mungu utafahamu ukweli uko wapi kaka yangu.
Nina ushahidi wa nyaraka za dhehebu la Roman ambazo wamekubali kubadilisha siku ya kuabudu kutoka Jumamosi kwenda jumapili. Kam utapenda unaweza kuwasiliana na Pastor Kaniki wa Radio ya 105. 3 atakupatia ushahidi wote
Kuhusu kuhusika katika NWO atakuelezea zaidi
Mimi niko nje ya ninapoishi kwa muda huu. Simu ya Pastor Kaniki ni 0719 12 17 29
Asante
 
Massernberg upo? Nataka tubadilishane mawazo kupitia thread hii.Upatapo ujumbe huu plz respond!
 
Last edited by a moderator:

In order to infiltrate into Masonic Lodges in Britain, Weishaupt invited John Robison over to Europe. Robison was a high degree Mason in the Scottish Rite. He was a professor of natural philosophy at Edinburgh University and secretary of The Royal Society of Edinburgh. Robison did not fall for the lie that the objective of the Illuminati was to create a benevolent dictatorship, but he kept his reaction to himself so well that he was entrusted with a copy of Weishaupt's revised conspiracy for study and safekeeping.
Because the warnings about the Illuminati were ignored, the Revolution broke out in 1789, as scheduled by Weishaupt. In order to alert other governments to their danger, Robison published, in 1789, a book entitled "Proof of a Conspiracy to Destroy All Governments and Religions", but his warnings were also ignored.
Wait...........

Is free masonry any better compared to this illuminati or what mason was Robinson associated with?
Another contradiction.....

Communism is a brainchild of the illuminati
Fidel Castro is a communist
Hugo Chavez (leftist) supports communism and mentored by Castro
Both Castro and Chavez categorically rebuff international finance system i.e WB and IMF policies which means they don't bear out one of the illuminati policy


This article was meant for a brainteaser,right?

 
There are things that donot add up in my mind always.And I find them everywhere, in religious institutions, in accademic instutions in business area etc.

Kwanza kuna marais (popular presidents), wakati wanaingia katika nchi nyingi kila media zilihamasisha watu mbaya kabisa.Na hakuna aliyepata nafasi ya kuuliza maswali ya msingi na kujibiwa.Zaidi ya matusi na makaripio makali sasa hivi wote wanashangaza waliowachagua, watu wanajiuliza walikuwa ktk kilevi au?
 
Kwa hali inavyoonekana, na kwa kutazama nyakati za sasa utajua kabisa Mpango ni kweli upo na unatekelezawa na mashirika mbalimbli kwa majina ya "shirika la kuto misaada"
 
Kama ilivyo kawaida binadamu huwa tunaamini "myths". Isitoshe hizi habari za sijui new world order, one world government na nyinginezo ni hadithi tu za watu waoga ambao hawafuatilii mwenendo wa mambo duniani ulivyo. Ukiangalia kwa ukaribu utakuta hizi hadithi zilianza vipindi vya zamani na watu wakajifanya wataalamu wa kubashiri siku za usoni zitakavyokuwa. Wengi wanaopigia debe haya mambo wanadai Marekani ndiyo itakuwa kinara wa kusimamia hiyo serikali moja. Lakini wanasahau kuwa
.
Endelea na imani yako hiyo ili ukawasimulie vizuri wale utakaokutana nao motoni.
 
Kama ilivyo kawaida binadamu huwa tunaamini "myths". Isitoshe hizi habari za sijui new world order, one world government na nyinginezo ni hadithi tu za watu waoga ambao hawafuatilii mwenendo wa mambo duniani ulivyo. Ukiangalia kwa ukaribu utakuta hizi hadithi zilianza vipindi vya zamani na watu wakajifanya wataalamu wa kubashiri siku za usoni zitakavyokuwa. Wengi wanaopigia debe haya mambo wanadai Marekani ndiyo itakuwa kinara wa kusimamia hiyo serikali moja. Lakini wanasahau kuwa matukio ya ulimwengu hayaendeshwi na porojo za bei rahisi kama hizi. Wakati watu wanatunga hadithi za ukinara wa Marekani hakuna hata mmoja aliyejua China itakavyobadilisha mambo. Sasa hivi kila mwenye akili anajua kuwa China inakuja kushika usukani wa uchumi wa dunia muda si mrefu sana baada ya kuiengua Japan toka nafasi ya pili. Hili ndilo taifa linaloinyima Marekani usingizi; kwa hiyo mnaopiga kelele za one world government naomba mtupe maelezo ya mwelekeo wa China katika hadithi zenu hizi.
La pili ni kuhusu hizi zinazoitwa "Luciferian societies" au wanaomwabudu shetani kama ambavyo wengi wanawaita. Hivi mnafahamu kuwa shetani hajawahi kuitwa Lucifer hata siku moja? Kama yupo anayebisha basi atuletee ushahidi wa shetani kuitwa jina hili. Neno lucifer ni Kilatini na maana yake ni "nyota ya asubuhi", jina lililokuwa likitumiwa kuiita sayari ya Venus kipindi ambacho inatokea angani mashariki alfajiri kabla jua halijachomoza.
Hivyo basi anayedhani kuwa kumwabudu lucifer ni kumwabudu shetani ameliwa.
Kwa kifupi hakuna uwezekano wowote wa dunia kuwa chini ya serikali moja na wala hiyo namba 666 haina uhusiano wowote na ulimwengu huu wala vizazi vijavyo. Ukisoma vizuri kitabu cha ufunuo utaelewa kuwa hiyo namba ilihusiana na mtawala wa Kirumi enzi hizo wakati wakristo wanateswa na dola ya Warumi iliyotawala eneo kubwa la Ulaya hadi Uturuki na nchi za Afrika ya kaskazini. Msikae mnatisha watu wasiojua historia ya dunia kama ambavyo nyinyi hamuijui.

Mkuu, biblia inatuonyesha kuwa shetani ndiye mwana wa asubuhi, nyota ya alfajiri.
Taz
Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe Nyota
ya Alfajiri, mwana wa asubuhi!” Isa. 14:12.
“Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka
kutoka mbinguni kama umeme.” Luka
10:18. “Ukawa juu ya mlima mtakatifu wa
Mungu.” Eze. 28:14.
Shetani alikuwa akiishi
mbinguni alipoasi. Jina lake alikuwa
Lusifa, yaani, “Nyota ya Alfajiri”.
 
Back
Top Bottom