Leo nimecheka nilivoona anasema anaongeza mishahara kwa maana ya Annual increment basi kuna watu wakafurahiiiii kuja kujua hiyo annual increment inaendana na daraja lako la mishahara wakaishiwa nguvu maana kuna mtu ataongezewa 18,000 kuna 26,000 nk nk.....Huyu ni Rais wa Maendeleo ya Vitu na sio Maendeleo ya watu....Hizo ajira 52 elfu labda ajira za kubeba mataruma ya reli lakin sio serikalini....Mwafaaaaa 2020 msifanye kosa ubunifu ni O