Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 923
- 1,616
Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind bending/blowing movie.
kwa matumizi ya uzi huu: Mind bending films films ni aina ya filamu zenye lengo la kumfanya mtazamaji ajiulize kuhusu mtazamo wake wa kweli. Hii kutokana stori tata zililetwa kupitia filamu, zimewasilishwa katika mfulilizo tata au dhana zenye kufikirisha (thought provoking concepts).
Ni filamu zinazoweza kukuacha ukijiuliza uelewa wako wa stori katika filamu, wahusika hata kujiuliza uwepo wako duniani(Nature of existence), mara nyingi inaweza kufanya ukabidili mtazamo wako juu ya vitu tunavyo angalia kwa macho ya kawaida, hivyo kukujengea nadharia mpya au kufuta kile ulichokua ukikiamini.
Japo zinaweza kuwa na athari kiakili au kisaikolojia either kwa kujenga au kubomoa, lakini kwangu hii aina ya filamu ni bora sana. Nazipenda sana.
Hii ndiyo kumi yangu bora kabisa katika aina hii ya filamu. (Huku mtayarishaji(director/producer) wangu bora zaidi akiwa ni Christopher Nolan.
N.B. Katika list hii nitajitahidi nisitaje majina ya wahusika endapo nitaelezea concept ya movie, au kuelezea matukio (plot) yanayotoa majibu ya filamu. Sitaki kuwaharibia wale ambao hawajaziona, kila mtu lazima afikirie na ndiyo radha ya aina ya movie hizi . Pia, usijifunge kutoa tafsiri ya hizi filamu katika dokezo lilotolewa, unaweza tafsiri utakavyo kutokana na Knowledge au imagination yako. Ndio maana waandaji wengi wa hizi filamu hatawaki kabisa kutoa tafsiri ya movie husika, maana itawabana watu kufikiri au kutoa tafsiri kwa mapana zaidi.
1. Inception (2010)
Hii ni moja ya filamu yangu bora ya muda wote si tu kwenye category hii tu, bali kwenye categories zote. Idea kuu ya hii movie ni Inception (A dream sharing technology). Kwa lugha rahisi ni uwezo wa kuhack mind (sub-conscious mind) ili kuiba au kupandikiza idea kupitia ndoto, wao wanaamini ndoto zinaweza kutengenezwa, kuwa manipulated(kupotoshwa)na kuwa shared.
Kwanini ndoto? Jamaa wanasema wakati tumelala, tunaota, ni wakati ambao akili zetu ni dhaifu zaidi, ndio maana unaweza ukaota mambo ya hovyo, yaliyo nje ya maadili, ya ajabu ajabu ambayo huwezi hata kufikiria wakati akili yako ipo active. Hivyo hapo ndipo wataingia kufanya kazi yao. Huku ikichagizwa na dhana ya ndoto ndani ya ndoto. (Dreams within a dream). Narudia tena, hii movie sio ya kukosa kuangalia.
My favourate line: Our dreams feel real while we're in them. It's only when we wake, we realize things were strange".
2. Shutter Island (2010)
What a perfect movie. Ni movie yenye "plot twisting" bora zaidi. Hii ni movie ambayo ukifika plot ya mwisho lazima uwe suprised na u-scream "Oh Noo, Nilikua nafikiria nini?
Naogopa ku-spoil kwa wale ambao hawajaangalia. Ila concept kubwa ni ya kisaikolojia, kuwa Guilty (hatia) and Grief (majonzi/uchungu) ni moja ya sababu kubwa ya afya ya akili kwa wengi. Watu wengi wanavurugika kiakili(kuchanganyikiwa) au kuishi kama wanyama sababu kuu zikiwa ni hizo.
Jamaa anataka ku-move on kutoka kwenye guilty ya kumuua mke wake ambaye aliiua watoto wake. (Hili tukio lilitaka kunitoa machozi, yaani unampenda sana babe wako, lakini bahati mbaya hayupo sawa kiakili, daah acha tu).
Kufuatia tukio hilo, ili a-scape from reality akatengeza dunia yake kichwani(delusion world) ya kusema yeye ni hero, wala hajafanya maujaji ya mke wake. Hivyo basi atakua anapambana na waovu na atalipiza kisasi kwa wale ambao wamefanya mauaji ya familia yake akiwemo mke wake.
My favourate line: Which would be worse: To live as a monster, or to die as a good man?
3. The Matrix (1999)
Hii ndio Matrix bora zaidi katika huu mfululizo wa Matrix. Hii imefanya watu waamini hii dunia ni mfano wa Matrix, ndio maana Influencer wengi wanasema "Escape from Matrix", wakimaanisha kuwa hii dunia ipo controlled na watu fulani, unafanya wao wanachotaka ufanye, unaona kile wanachotaka uone. So jitahidi kuondoka katika huo mfumo.
Hii movie kwa ufupi, imebeba theory na dhana zifuatazo, Stimulation theory: Kuwa binadamu tunaishi katika false reality ambayo imetengenezwa na Intelligent machine. Huku ikachagizwa na uwezekano wa kutengezwa Powerful AI huko mbeleni ambayo inawezatawala dunia. Pia imebeba mengine mengi yanaendana na ukweli na jinsi tunavyoitazama dunia, uwepo wetu, free will and search for meaning katika dunia iliyojaa mambo mengi.
My favourate line: I don't like the idea that I am not in control of my life.
4. The Truman Show(1998)
Japo imebeba baadhi idea za matrix, ila hii ni nyepesi sana kuielewa. Ni kama comedy fulani lakini ni kali sana. Ila imeongeza kuonesha future ya film industry.
My favourate line:
Good morning, and in case I don’t see ya, good afternoon, good evening, and goodnight! Haha😂
Naomba niongeze hii ambayo ina maana sana katika movie hii na kile nilichokisema hapo juu:
"We all accept the reality of the world with which we’re presented. It’s as simple as that."
5. Interstellar (2014)
Hii kwangu sio Science fiction movie, ila Sci-fact movie (Scientific movie). Hii movie imeelezea principle nyingi za kisayansi, ikiwemo ile " "Time dilation" ambayo ni matokeo ya theory ya Einstein "Theory of relativity". Ila kwenye movie kuna mengi, usaliti, Sacrifice, Love and humanity. Nilipenda sana hii kauli ya Dr. Brand kuwa “Love is the one thing that transcends time and space. Maybe we should trust that, even if we cannot understand it. Kama nilivyosisitiza kwenye Inception, Hii movie si ya kuacha kuiangalia kabisa.
My favorate line: We count these moments. These moments when we dare to aim higher, to break barriers, to reach for the stars, to make the unknown known. We count these moments as our proudest achievements.
6. Fight club(1999)
Wakati naandika hapa basi naenda kuvunja sheria za fight club ambazo ni: The first rule of Fight Club is you do not talk about Fight Club. The second rule of Fight Club is you do not talk about Fight Club. (Hupaswi kuizungumzia kabisa).
Lakini hii picha ina ujumbe mkubwa sana una husisha maisha ya sasa, kuanzia mfano kazi au mali tunazomiliki zinaweza kutupumbaza na kuwa sisi ni bora sana, au kwa wale ambao hawana basi hujiona hawana thamani tena kwa kushindwa kufika matarajio hayo ya jamii. So inafundisha kila mtu awe na tafsiri yake ya kile kinachompa furaha au chenye maana au thamani kwake.
My favourate line: I say never be complete. Stop being perfect. I say let's evolve, let the chips fall where they may.
7. Memento(2000)
Kutokana na kumbukumbu za maumivu makali mara kwa mara, sometimes tunatamani tuweze kusahau haraka lakini inashindikana.
Ila hii ni tofauti kwa kiijana Leonard wa Memento, yeye kila baada ya dakika 15 anasahau kipi alifanya, sometimes wapi anaelekea na lengo la kuwa hapo, yaani we acha tu. Pamoja na kuwa na changamoto hiyo, katika filamu hii anajukumu la kumtafuta jamaa aliyembaka na kumuua mke wake. Atafanya nini? Kipi kitatokea? Nenda kaicheki hii movie.
My favourate line: Memory can change the shape of a room; it can change the color of a car. And memories can be distorted. They’re just an interpretation, they’re not a record, and they’re irrelevant if you have the facts.
8. The Prestige(2006)
Wale watu wa mazingaombwe(Magics), assume una trick yako ya maana, itakayokupa umaarufu mkubwa, then aliyekuwa mshikaji wako anatibua tricks zako kwenye show yako. Tena jamaa wapo tayari ku-sacrifice kila kitu ili mradi waharibiane.
My favourate line: Never show anyone. They’ll beg you and they’ll flatter you for the secret, but as soon as you give it up… you’ll be nothing to them.
9. The Arrival (2016).
Hapa kuna dada, ambaye ni mtaalamu wa lugha, amepewa kazi na serikali baada ya Aliens kushuka duniani. Anataka kujua wamekuja kufanya nini? Lengo lao kuu ni nini? Lakini changamoto anayokutana nayo ni lugha ya Aliens, yaani ni ni ngumu na hakuna binadamu anaweza tafsiri.
My favourate line: "If you could see your whole life from start to finish, would you change things?
10. Dark Series| 1889 series
(Nitarudi kuzipa maelezo kidogo na kuthibitisha kama ni kweli zinafaa kuingia kwenye hii top ten(10), ila nimeanza kuzipenda japo kutokana na muda sijazimaliza bado.)
Nimerudi kutoa mrejesho, Dark Series ni moja ya series bora sana.
Unaweza kuweka na wewe Top 5 - 20 ya aina hii ya filamu.
Baada ya kupata mapendekezo kutoka kwa wadau, nimekuja kuongeza filamu nyingine katika list hii kama ifuatavyo, hizi ni bora sana. Kufupisha urefu wa uzi, hizi nitajitaja ila nitajitahidi kutoa dokezo katika comment pale itakapolazimika.

- 2001: A Space Odyssey (1968)
- Donnie Darko (2001)
- Eternal Sunshine of the Spotless Mind 2004.
- A Beautiful Mind (2001)
- Waking life (2001)
- Pulp Fiction (1995)
- V for Vendetta (2005)
- Everything, Everywhere, All at Once (2022)
- Predestination (2015)
- Your Name (2016)
Niwatakie weekend njema.