mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 7,737
- 17,268
Niliangalia Triangle(2009), ile movie ni kama unasolve Calculus

Tupo pamoja Mkuu.Napenda sana watu wa namna kama yako..
🙌🙌🙌🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Yaani wachambuzi namna hii aiseeee
📌Ukiachana na Anime, mind-blowing movies ndo kitu cha pili napenda kuangalia nikipata free time, Best Daddy umenifanya nipekue kweny notebook yangu(ya simu) ninapohifadhi list of my favourite movies.
My fav mind-blowing films;
Dir. by David Lynch
Eraserhead (1977)
The Elephant man (1980)
Blue Velvet (1986)
Mulholland Drive (2001)
Twin peaks(Series 1990)
Dir. by Darren Aronofsky
Pi (1998)
Requiem for a dream (2000)
The Fountain (2006)
Black Swan (2010)
Mother! (2017)
The Whale (2022)
Dir. by Stanley Kubrick (director who inspired Chris Nolan)
2001: A space odyssey (1968)
Clockwork Orange (1971)
Eyes Wide Shut (1999)
Dir. by David Fincher
Se7en (1995)
The Game (1997)
Fight Club (1999)
Zodiac (2007)
Gone girl (2014)
Dir. by Ridley Scott
Blade Runner (1982)
Blade Runner 2049 (2017)
Prometheus (2012)
Honorable mentions;
Donnie Darko (2001)
Funny Games (1997)
Oldboy (2003)
Pulp Fiction (1994)
Primer (2004)
12 Monkeys (1995)
Eternal sunshine of a spotless mind (2004)
Looper (2012)
The Usual Suspects (1995)
Being John Malkovich (1999)
Mr. Nobody (2009)
Everything Everywhere All At Once (2022)
David Lynch, David Fincher and Darren Aronofsky, hawa directors most of their movies are mind-f*cks, kwaio kama unapenda hizi aina za movie ungeanza nao hao filmmakers.
Mtoa mada kamuongelea sana Christopher Nolan, but Nolan is more science based, kama huna interest na physics bac utaona kama wanaongea pumba tuu mfano movie kama Oppenheimer, nearly 3 hours there just talking about quantum physics, I enjoyed it but kama huna interest na hayo mambo huta enjoy(nimeona watu wengi sana wakitoka nje ya theater wanalalamika), but ana movie zake kama Prestige na Memento ambazo hazina mambo ya physics, hizi nzuri kwako kama huna interest na physics.
Alaf Kitu chingine movie hazina expire date, hii kitu nimekuwa nabishana na watu wengi sana, kuna watu wanasita kuangalia movie kisa imetoka miaka ya nyuma sana, watu wenye mentality hii mnapitwa na vitu vingi mno.
Another Honorable mention ni writter and director Quentin Tarantino, movie zake sio mind-blowing kama Interstellar or Inception but ana uandishi mzuri sana, huchoki kuangalia movie yake, huwez kusinzia, the're very intriguing, anaandika story za kusisimua na kuchangamsha ubongo, na kuna jinsi matukio yanatokea kweny movie zake kwa kushtukiza sana, mtazamaji utabaki mdomo wazi tuu, anatumia dark-humour, kitu ambacho napenda sana kukiona kweny movie.
If you're interested jaribu kuangalia hizi;
Pulp Fiction
Kill Bill Vol 1&2
Inglorious Basterd
Django Unchained
The Hateful Eight
Once upon a time in Hollywood
Mkuu mbona umesimama kufanya uchambuzi wa movie? Ulikuwa unafanya kitu poa sana kama unaweza nashauri uendelee.THE PLATFORM (El Hoyo)
Sina la kusema, filamu hii inajisemea yenyewe kwa mwenye akili yake.
You want to real know about mankind? True colors of human beings? Tazama hii filamu.
"Hunger unleashes that madman in us."View attachment 2796270
YuppowWazee NAOMBA mnitajie website ya kuangalia movie online kupitia simu
Ahsante sana kwa mapokeo chanya kutoka kwako.Ila kuhusu animation lazima tuzungumze au unaweza toa list yako bora kwa manufaa ya sisi wapenzi wa animation(anime).
TENET ni moja ya picha nzuri but, Man it was too confusing to enjoy.
Naomba nisiongee mengi kuhusu hii filamu maana naweza mvunjia heshima Smart Man "Nolan" , ila I think atakua amepata negative review sana kupitia hii filamu.
we jamaa upo vizuri sana pia unaonekana mkongwe kwenye hii tasnia,Ukiachana na Anime, mind-blowing movies ndo kitu cha pili napenda kuangalia nikipata free time, Best Daddy umenifanya nipekue kweny notebook yangu(ya simu) ninapohifadhi list of my favourite movies.
My fav mind-blowing films;
Dir. by David Lynch
Eraserhead (1977)
The Elephant man (1980)
Blue Velvet (1986)
Mulholland Drive (2001)
Twin peaks(Series 1990)
Dir. by Darren Aronofsky
Pi (1998)
Requiem for a dream (2000)
The Fountain (2006)
Black Swan (2010)
Mother! (2017)
The Whale (2022)
Dir. by Stanley Kubrick (director who inspired Chris Nolan)
2001: A space odyssey (1968)
Clockwork Orange (1971)
Eyes Wide Shut (1999)
Dir. by David Fincher
Se7en (1995)
The Game (1997)
Fight Club (1999)
Zodiac (2007)
Gone girl (2014)
Dir. by Ridley Scott
Blade Runner (1982)
Blade Runner 2049 (2017)
Prometheus (2012)
Honorable mentions;
Donnie Darko (2001)
Funny Games (1997)
Oldboy (2003)
Pulp Fiction (1994)
Primer (2004)
12 Monkeys (1995)
Eternal sunshine of a spotless mind (2004)
Looper (2012)
The Usual Suspects (1995)
Being John Malkovich (1999)
Mr. Nobody (2009)
Everything Everywhere All At Once (2022)
David Lynch, David Fincher and Darren Aronofsky, hawa directors most of their movies are mind-f*cks, kwaio kama unapenda hizi aina za movie ungeanza nao hao filmmakers.
Mtoa mada kamuongelea sana Christopher Nolan, but Nolan is more science based, kama huna interest na physics bac utaona kama wanaongea pumba tuu mfano movie kama Oppenheimer, nearly 3 hours there just talking about quantum physics, I enjoyed it but kama huna interest na hayo mambo huta enjoy(nimeona watu wengi sana wakitoka nje ya theater wanalalamika), but ana movie zake kama Prestige na Memento ambazo hazina mambo ya physics, hizi nzuri kwako kama huna interest na physics.
Alaf Kitu chingine movie hazina expire date, hii kitu nimekuwa nabishana na watu wengi sana, kuna watu wanasita kuangalia movie kisa imetoka miaka ya nyuma sana, watu wenye mentality hii mnapitwa na vitu vingi mno.
Another Honorable mention ni writter and director Quentin Tarantino, movie zake sio mind-blowing kama Interstellar or Inception but ana uandishi mzuri sana, huchoki kuangalia movie yake, huwez kusinzia, the're very intriguing, anaandika story za kusisimua na kuchangamsha ubongo, na kuna jinsi matukio yanatokea kweny movie zake kwa kushtukiza sana, mtazamaji utabaki mdomo wazi tuu, anatumia dark-humour, kitu ambacho napenda sana kukiona kweny movie.
If you're interested jaribu kuangalia hizi;
Pulp Fiction
Kill Bill Vol 1&2
Inglorious Basterd
Django Unchained
The Hateful Eight
Once upon a time in Hollywood
Well thanks.we jamaa upo vizuri sana pia unaonekana mkongwe kwenye hii tasnia,
anza kutuandalia uzi mara moja moja ngoja leo nianze na hii list umeweka hapa.
Mkuu umetisha.Ukiachana na Anime, mind-blowing movies ndo kitu cha pili napenda kuangalia nikipata free time, Best Daddy umenifanya nipekue kweny notebook yangu(ya simu) ninapohifadhi list of my favourite movies.
My fav mind-blowing films;
Dir. by David Lynch
Eraserhead (1977)
The Elephant man (1980)
Blue Velvet (1986)
Mulholland Drive (2001)
Twin peaks(Series 1990)
Dir. by Darren Aronofsky
Pi (1998)
Requiem for a dream (2000)
The Fountain (2006)
Black Swan (2010)
Mother! (2017)
The Whale (2022)
Dir. by Stanley Kubrick (director who inspired Chris Nolan)
2001: A space odyssey (1968)
Clockwork Orange (1971)
Eyes Wide Shut (1999)
Dir. by David Fincher
Se7en (1995)
The Game (1997)
Fight Club (1999)
Zodiac (2007)
Gone girl (2014)
Dir. by Ridley Scott
Blade Runner (1982)
Blade Runner 2049 (2017)
Prometheus (2012)
Honorable mentions;
Donnie Darko (2001)
Funny Games (1997)
Oldboy (2003)
Pulp Fiction (1994)
Primer (2004)
12 Monkeys (1995)
Eternal sunshine of a spotless mind (2004)
Looper (2012)
The Usual Suspects (1995)
Being John Malkovich (1999)
Mr. Nobody (2009)
Everything Everywhere All At Once (2022)
David Lynch, David Fincher and Darren Aronofsky, hawa directors most of their movies are mind-f*cks, kwaio kama unapenda hizi aina za movie ungeanza nao hao filmmakers.
Mtoa mada kamuongelea sana Christopher Nolan, but Nolan is more science based, kama huna interest na physics bac utaona kama wanaongea pumba tuu mfano movie kama Oppenheimer, nearly 3 hours there just talking about quantum physics, I enjoyed it but kama huna interest na hayo mambo huta enjoy(nimeona watu wengi sana wakitoka nje ya theater wanalalamika), but ana movie zake kama Prestige na Memento ambazo hazina mambo ya physics, hizi nzuri kwako kama huna interest na physics.
Alaf Kitu chingine movie hazina expire date, hii kitu nimekuwa nabishana na watu wengi sana, kuna watu wanasita kuangalia movie kisa imetoka miaka ya nyuma sana, watu wenye mentality hii mnapitwa na vitu vingi mno.
Another Honorable mention ni writter and director Quentin Tarantino, movie zake sio mind-blowing kama Interstellar or Inception but ana uandishi mzuri sana, huchoki kuangalia movie yake, huwez kusinzia, the're very intriguing, anaandika story za kusisimua na kuchangamsha ubongo, na kuna jinsi matukio yanatokea kweny movie zake kwa kushtukiza sana, mtazamaji utabaki mdomo wazi tuu, anatumia dark-humour, kitu ambacho napenda sana kukiona kweny movie.
If you're interested jaribu kuangalia hizi;
Pulp Fiction
Kill Bill Vol 1&2
Inglorious Basterd
Django Unchained
The Hateful Eight
Once upon a time in Hollywood
Movie nyingine kali ya Christopher Nolan ambayo haiko based on science ni Insomnia.Ukiachana na Anime, mind-blowing movies ndo kitu cha pili napenda kuangalia nikipata free time, Best Daddy umenifanya nipekue kweny notebook yangu(ya simu) ninapohifadhi list of my favourite movies.