TFF umakini uongezeke kukagua viwanja na vigezo vyote hadi nyakati za mvua

Aug 29, 2022
70
134
TFF umakini uongezeke kukagua viwanja na vigezo vyote na kutumika hadi nyakati za mvua Ukiangalia huu uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo ulipo Mbweni Dar es salaam uwanja wa nyumbani wa JKT Tanzania bado kwa kiasi kikubwa hakuwa na vigezo vyote na athari yake sasa ndiyo hii kusababisha mechi kuharishwa kwa mvua ambazo si kubwa sana.

Nashauri TFF kama shirikikisho la mpira wa miguu Tanzania walitazame jambo hili katika kuhakikisha viwanja vyote vinavyotumiwa na hivi vilabu viwe katika mazingira rafiki na kutopelekea mechi kuhahirishwa kama hii ya leo ya Wenyeji wa mchezi JKT Tanzania dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBCPL Yanga sc

wasitoe tu vibali kwa kulidhisha watu wanaomiliki viwanja hivyo bali inaharibu taswira ya ligi yetu ambayo kwa sasa ipo top 10 ya ligi bora Afrika.

Ungesema kabisa nini kifanyike mkuu, kuliko tu kusema wahakikishe viwanja vya hivo vilabu vinakuwa kwenye mazingira rafiki hata nyakati za mvua.
 
Kilichotokea Leo ni kipimo tosha Cha kukosa umakini kazini na ubinafsi uliopitiliza hasa kutoka kwa Jkt maana mvua za dar hazijashtukiza kuhamishia match chamazi ambapo hata mapato yangekuwa juu zaidi ilikuwa rahisi sana
 
TFF umakini uongezeke kukagua viwanja na vigezo vyote na kutumika hadi nyakati za mvua Ukiangalia huu
uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo ulipo Mbweni Dar es salaam uwanja wa nyumbani wa JKT Tanzania bado kwa kiasi kikubwa hakuwa na vigezo vyote na athari yake sasa ndiyo hii kusababisha mechi kuharishwa kwa mvua ambazo si kubwa sana.

Nashauri TFF kama shirikikisho la mpira wa miguu Tanzania walitazame jambo hili katika kuhakikisha viwanja vyote vinavyotumiwa na hivi vilabu viwe katika mazingira rafiki na kutopelekea mechi kuhahirishwa kama hii ya leo ya Wenyeji wa mchezi JKT Tanzania dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBCPL Yanga sc

wasitoe tu vibali kwa kulidhisha watu wanaomiliki viwanja hivyo bali inaharibu taswira ya ligi yetu ambayo kwa sasa ipo top 10 ya ligi bora Afrika.

TFF hawana mashine za kukaushia maji kwenye viwanja?
 
Back
Top Bottom