Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,079
- 39,003
Hiki anachokifanya hapa Tabora kimesababisha nitoke nje kabisa ya uwanja. Siwezi kuendelea kuangalia Mechi inayochezwshwa kama Chandimu. Goli la Kwanza la JKT limetokana na double offside, lakini halitoshi build up imeanzia na foul dhidi ya mchezaji wa Tabora United na refa yuko Mita 4 toka kwenye tukio. Refa anafanya makusudi kuwaondoa Tabora mchezoni.
Kama ni lazima Tatu atumike kwenye soka basi mtafutieni kazini nyingine ofisini.
Kama ni lazima Tatu atumike kwenye soka basi mtafutieni kazini nyingine ofisini.