TFF inaogopa kuwapa Kagera sugar haki yao imeumbuka vibaya sana

Yani swala la namna hii nalo linaitaji kamati...kweliiii? Wakati kila baada ya mechi kuisha kuna report ya lefa...dah TFF bana
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Duh....hii inaonesha Kuna ubabaishaji mkubwa sana katika usimamizi wa soka letu. Suala kubwa kama la mchezaji kupewa kadi za njano halikupaswa kuwa suala la kutafuta mashahidi. Hiyo rekodi (ya uwepo au kutowepo kadi ya njano kwa mchezaji husika) kwa maoni yangu TFF walitakiwa kuwa nayo hata kama SSC isingekata rufaa. Ni aibu sana kuanza kubishana suala ambalo kimsingi lingepaswa kuwa ni factual.
 
Mmepigwa mbili Kagera mnazuga na vijikesi vya uongo na kweli. Soka uwanjani, watu 11 huku watu 11 kule. Ingekuwa mmoja amezidi ningeelewa.

Kwa hiyo Simba Koko alikung'utwa sababu Fakhi +kadi zake 3 inakuwa sawa na wachezaji wa4? Shame on you
we bingwa wa kusahau..mwka jana mlipata ubngwa kwa point kama hiz hiz mnazosema za mezani..
 
Hizi kamati zinakula allowance tu hakuna kitu cha maana ,,,,,huu ni uhuni
 
we bingwa wa kusahau..mwka jana mlipata ubngwa kwa point kama hiz hiz mnazosema za mezani..
We mgonjwa kweli kweli, yaani kwa akili yako Yanga awe bingwa kwa points za mezani? Mi nachojua tulibeba ubingwa kwa kuwa Simba Koko alituchangia Points 6 na magoli ma4
 
Goli 3 point 3 ahahahahahahahaah sio point 3 goli 2 yani simba mnapenda misaada hadi ya magoli mlishindwa kufunga magoli mengi mkidai nyie mwataka ushindi tu hata kama ni goli 1 sasa sisi wakati tunafunga magoli mengi mlituona ni wajinga mwataka kutufikia kwa magoli imekula kwenu.
 
Naona bado mmepoteana!!
 
Alisema simba ,azam waliwahi kupokwa point lakini nikamuona kilaza akasahau yanga aliwahi kupokwa point pale canavaro alipocheza dhid ya cost union ila akusema huyu jamaaa mlopokaji huwa aweki akiba ya maneno,nafurahi kusikia ataka uchunguzi ufanyike lakini akasahau pia kuna uchunguzi wa laki 8 za mgosi dhid ya mbao fc.
 
62defd43c27a5185743e5ef0df3c7d19.jpg

Kwani hili wenzetu hawalioni?
 
Back
Top Bottom