Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestine, amesema kamati hiyo itakaa tena na kuna shahidi wengine wataitwa kuhojiwa.
Kikao hicho kimefanyika kuanzia leo asubuhi katika hoteli ya Protea jijini Dar es Salaam na waamuzi, wafanyakazi wa bodi ya ligi, viongozi wa simba, Kagera Sugar, waamuzi wa mechi kati ya Kagera Sugar dhidi ya African Lyon na beki Mohammed Fakhi wamehojiwa.
Baada ya kuhojiwa, kilichofuatia lilikuwa ni suala la kamati kukaa kwa takribani saa moja kuonyesha walikuwa wakimalizia kuhusiana na kile walichowahoji wahusika.
Kabla, kamati ya Saa 72, ilikuwa imeipa Simba pointi tatu na mabao matatu licha ya kufungwa kwa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar.
Kamati ya Saa 72, ilibaini Kagera Sugar ilimchezesha Fakhi mechi hiyo kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba akiwa na kadi tatu za njano.
Lakini Kagera Sugar wakaendelea kusisitiza kwamba Fakhi alikuwa na kadi mbili tu za njano alizopewa katika mechi ya Mbeya City na ile dhidi ya Majimaji na si dhidi ya African Lyon
yanga bado inaweweseka na 4G
Ahhaahhaa...penye bonde na kuna chem chem ya MAJI VYURA hawakosi..ahhahhaaahhaa....Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestine, amesema kamati hiyo itakaa tena na kuna shahidi wengine wataitwa kuhojiwa.
Kikao hicho kimefanyika kuanzia leo asubuhi katika hoteli ya Protea jijini Dar es Salaam na waamuzi, wafanyakazi wa bodi ya ligi, viongozi wa simba, Kagera Sugar, waamuzi wa mechi kati ya Kagera Sugar dhidi ya African Lyon na beki Mohammed Fakhi wamehojiwa.
Baada ya kuhojiwa, kilichofuatia lilikuwa ni suala la kamati kukaa kwa takribani saa moja kuonyesha walikuwa wakimalizia kuhusiana na kile walichowahoji wahusika.
Kabla, kamati ya Saa 72, ilikuwa imeipa Simba pointi tatu na mabao matatu licha ya kufungwa kwa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar.
Kamati ya Saa 72, ilibaini Kagera Sugar ilimchezesha Fakhi mechi hiyo kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba akiwa na kadi tatu za njano.
Lakini Kagera Sugar wakaendelea kusisitiza kwamba Fakhi alikuwa na kadi mbili tu za njano alizopewa katika mechi ya Mbeya City na ile dhidi ya Majimaji na si dhidi ya African Lyon
Wametafuta mechi ambayo haikurekodiwa kwani wao wajinga? La cvyo wangeshaumbuka na viishahidi shahidi vngne unavyovizungumzia watu washafutafuta zamani sana kinachotakiwa hp ni ubingwa tu!hii nchi kweli aliyetoroga ameshakufa cha kushangaza huyu mchezaji baada ya kucheza dhidi ya African Lyon akacheza tena na dhidi ya Mtibwa Sugar na timu yake ikashinda 2-1, akacheza tena dhidi ya majimaji timu yake ikashinda 1-0 mechi zote hizo TFF na Bodi ya ligi awakugundua kama ana kadi tatu za njano....
Najiuliza hivi AZAM TV kama hawajairikodi hiyo mechi je hakuna chombo chochote cha habari kilicho ripotihiyo mechi kama radio watafute audio yake au kama gazeti watafute nakala yake ili huu ujinga kama sio utata umalizike na mwenye haki yake apewe.
Mungu alivyomkubwa ss muda wanaodai Fakhi alipata kadi ilikuwa tayari keshatolewa nje baada ya kuumia uwezo wa kuchukua ubingwa hawana labda tff tu aamue kuwapa!hii nchi kweli aliyetoroga ameshakufa cha kushangaza huyu mchezaji baada ya kucheza dhidi ya African Lyon akacheza tena na dhidi ya Mtibwa Sugar na timu yake ikashinda 2-1, akacheza tena dhidi ya majimaji timu yake ikashinda 1-0 mechi zote hizo TFF na Bodi ya ligi awakugundua kama ana kadi tatu za njano....
Najiuliza hivi AZAM TV kama hawajairikodi hiyo mechi je hakuna chombo chochote cha habari kilicho ripotihiyo mechi kama radio watafute audio yake au kama gazeti watafute nakala yake ili huu ujinga kama sio utata umalizike na mwenye haki yake apewe.
Ndiyo watanzania tulivyo. kichwa cha habari kingine, maelezo ya habari mengineNimepatafuta ilipokataa kuipa kagera haki yao sijapaona, nimetafuta ilipoumbuka pia sijapaona.
Mmepigwa mbili Kagera mnazuga na vijikesi vya uongo na kweli. Soka uwanjani, watu 11 huku watu 11 kule. Ingekuwa mmoja amezidi ningeelewa.yanga bado inaweweseka na 4G
Mimi sijui nimepitwa na muda katika mambo ya soka?naomba nisaidiwe,hivi kamisaa wa mchezo bado wapo?kama wapo kazi zao nini nini?Mimi nilijua moja wapo ya kazi yao ni kuandika taarifa ya mchezo husika na kuiwasilisha panapohusika kwa muda uliowekwa Kama ndiyo hivyo taarifa ya kamisaa si ingetosha kumaliza jambo hili?hii nchi kweli aliyetoroga ameshakufa cha kushangaza huyu mchezaji baada ya kucheza dhidi ya African Lyon akacheza tena na dhidi ya Mtibwa Sugar na timu yake ikashinda 2-1, akacheza tena dhidi ya majimaji timu yake ikashinda 1-0 mechi zote hizo TFF na Bodi ya ligi awakugundua kama ana kadi tatu za njano....