William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,759
- 2,391
Tuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa.
Wakaitwa watu wanachezea benchi.
Nazani TFF wasilete usanii. Waachwe tu waende na Kibwana Shomari na nabi kwenye benchi tusubiri matokeo.
Kinachotokea Sasa ni Kama TFF imejivua nguo hadharani.
Wakaitwa watu wanachezea benchi.
Nazani TFF wasilete usanii. Waachwe tu waende na Kibwana Shomari na nabi kwenye benchi tusubiri matokeo.
Kinachotokea Sasa ni Kama TFF imejivua nguo hadharani.