Tetesi za chini chini zilizonifikia muda si punde zinasema......

Yupi Huyo? Au yule Chiriku wa ile Klabu kubwa iliyofungwa juzi inayoongozwa Na Mh.Diwani?
 
Hatimaye ile kesi iliyokua ikimkabili Muro ambaye ni msemaji wa Yanga, imetupiliwa mbali na kamati ya maadili ya tff kwa kuwa barua ya vitisho aliyoandikiwa Muro ilikua na mapungufu.

Safi sana Manji. Mwaka huu mpaka malinzi anye rungu.
 
....tulia wewe!, hiyo barua ina mapungufu, haikuonesha ni kamati gani iliyomuita kwa ajili ya kumuhoji,so wakirekebisha hilo,Muro lazima apande kizimbani na domo lake!
 
Basi mpambano kumbe bado unaendelea...
 
Yule Msemaji Mkorofi na mwenye sifa na majigambo wa Klabu moja Kesho anategemewa kuhukumiwa Kifungo cha kati ya mwaka mmoja ( 1 ) hadi mitatu ( 3 ) ila uwezekano wa kufungiwa kutojihusisha na masuala ya Michezo kwa miaka mitatu ( 3 ) ni mkubwa nikimaanisha 100%.

Akhsante sana TFF japo kitendo hiki au hatua hii kwa wenye kuzingatia nidhamu ya Soka na Maadili yake tunaona kama vile mmechelewa ila kuna kauli ya Waingereza isemayo " better late than never " hivyo basi tunawashukuru kwa hilo.

Wanamichezo wote bila kujali wa Mnyama mnyamani ( Msimbazi ) au wa Chura churani ( Jangwani ) tumelipokea na hiyo Kesho mkishampa Mtu discipline yake mtakuwa mmetufurahisha na kuanzia sasa tutakuwa sasa tunaanza kurudisha imani yetu kwenu.

Jioni njema / Usiku mwema.
gents katika ubora Wako WA uongo
 
Kweli simba mambulumundu yaani mtuu mmoja tuu anakosesha usingizi miaka 2???
sijui kosa la Yanga ni lipi mpaka simba wanawehuka na kuacha kufanya yao....jamaa wana wivu wa kike aiseeee
 
Muongo huyooo kec imefutwa hiyooooo wa mchangan mnafurah nyie ay kisa anaongea juu yenu na ndio maana ya watani Wa jadi mxikimbie kawaida xana muro ndan ya mjengo
 
Yule Msemaji Mkorofi na mwenye sifa na majigambo wa Klabu moja Kesho anategemewa kuhukumiwa Kifungo cha kati ya mwaka mmoja ( 1 ) hadi mitatu ( 3 ) ila uwezekano wa kufungiwa kutojihusisha na masuala ya Michezo kwa miaka mitatu ( 3 ) ni mkubwa nikimaanisha 100%.

Akhsante sana TFF japo kitendo hiki au hatua hii kwa wenye kuzingatia nidhamu ya Soka na Maadili yake tunaona kama vile mmechelewa ila kuna kauli ya Waingereza isemayo " better late than never " hivyo basi tunawashukuru kwa hilo.

Wanamichezo wote bila kujali wa Mnyama mnyamani ( Msimbazi ) au wa Chura churani ( Jangwani ) tumelipokea na hiyo Kesho mkishampa Mtu discipline yake mtakuwa mmetufurahisha na kuanzia sasa tutakuwa sasa tunaanza kurudisha imani yetu kwenu.

Jioni njema / Usiku mwema.
kufungiwa kwa msemaji wetu hakitawatoa nyie kimchezo acha wivu Nyiye wamatopeni tu !!!! panga mipango ya mafanikio kwako so umbeya upon!!??
 
Angalia kwenye vifua vya wachezaji wa Yanga, naona wamepata mdhamini mpya. Hivi ni lini Yanga iliingia mkataba na Quality Group? Je kuna mkataba kati ya Yanga na Quality Group au ndo vileee?
IMG_0196-1.jpg

IMG_0224.jpg
Hata kama asipotaja kiasi gani ameleta kwa kudhamini kifua cha jezi. Huyu jamaa ametoa pesa nyingi sana kwenye mfuko wa Klabu.

Mchango wake haupimiki kwa tangazo la kifua.

Kama mnamchukia anavyo iunga mkono Yanga, basi download nyimbo ya snura muanze kudensi mwana wane.
 
Back
Top Bottom