msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,764
- 3,191
Hadimu = adimu ushauri msipende kukaa sana nje mpaka mnasahau lugha yenu.Aisee ni mara chache nafasi hizi hadimu hutokea ngoja niwape pole ,Poleni sana Kumamoto
Hadimu = adimu ushauri msipende kukaa sana nje mpaka mnasahau lugha yenu.Aisee ni mara chache nafasi hizi hadimu hutokea ngoja niwape pole ,Poleni sana Kumamoto
Nimekumbuka mwaka ya 2002 timu ya taifa ya ubelgiji walikuwa na mchezaji anaitwa Mbo jerome Mpenza.
Sasa kuna mechi ilichezwa kati ya belgium na Japan katika uwanja wa Kumamoto. Sasa kuna gazeti nadani ni bigwa liliandika
MBO NDANI YA KUMAMOTO LEO
duh lilileta kizazaa sana nilipo enda nalo home , nakumbuka mshua alilichoma moto maana......
😃😃😃 miaka 4 iliyopita....Nilicheka sana leo nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari ya saa 10 kamili jioni, radio Tumaini FM, mtangazaji Ashura Kishimba alipofika kwenye hilo jina "K..mamoto" akasoma "KAMAMOTO".
Babu flick. Iyo avatar namkubali sana uyo pusyIna maana kwenye huo mji kumamoto kuna madhambi sana kama sodoma au..
K.motoKumamoto has had: (M1.5 or greater)
The largest earthquake in Kumamoto:
- 7 earthquakes today
- 22 earthquakes in the past 7 days
- 22 earthquakes in the past month
- 40 earthquakes in the past year
Japan
- today: 7.0 in Kumamoto, Kumamoto, Japan
- this week: 7.0 in Kumamoto, Kumamoto,Japan
- this month: 7.0 in Kumamoto, Kumamoto,Japan
- this year: 7.0 in Kumamoto, Kumamoto,Japan
Earthquake Alerts via Twitter:
Na tetemeko hilo lilikuwa kwa kiwango cha point 7, kwenye Richter Scale.
Ikumbukwe kuwa hili tetemeko ni lile linaitwa secondary earthquake baada ya lile la jana lilkiwa katika kiwango cha 6.2 kwenye Richter Scale.
Poleni sana wakazi wa Kumamoto, Japan.
Hii habari ni ya Muda ila Aise nimecheka mpaka machozi...JF katika ubora wake....ni mda sana umepita nikiwa sijacheka mpaka mbavu zikauma, by the way sidhani kama ipo siku KUMAMOTO itatulia
Pia tunapenda kujua hali ya korona huko kakuma kwenye kambi ya wakimbizi nchini kenya.Hali ya corona ipoje ktk jiji hili