Tetemeko la ardhi latikisa Kumamoto Japan

Lengo hapa la mleta mada sio taarifa ya tetemeko ila jina la mjini..eti limeleta uharibifu mkubwa hasa maeneo ya mashariki.,haaa haaa!
 
Heeeeee hlo jina mbona linasababisha tetemeko mwilin ss hlo eneo si ndio balaa duuuh polen wana papuchi moto
 
Wana KUMAMOTO poleni sana na tuzidi kumwomba Mwenyezi Mungu awape faraja na uvumilivu wakati huu mkiwa katika matatizo hayo makubwa. I hope with time the KUMAMOTO city will return to normal and people proceed with their daily activities.
FC Liboro inapaswa kwenda kuituliza Kumamoto.
 
Limetokea tetemeko la pili lenye kipimo cha 7.0 ndani ya saa 48 kwenye mji wa kumamoto na imeripotiwa watu wawili wamepoteza maisha.
1460766806106.jpg
1460766820217.jpg
1460766832246.jpg

Chanzo
CNN
 
Inabidi sasa haya majina ya miji yawe yana option name kwa foreign countries maana kwa nchi kama yetu hii story huwezi kumsimulia baba mkwe.
 
Back
Top Bottom