Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,638
- 4,236
Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana.
Tems anashinda Grammy, Zuchu yuko busy kumpigia kachori na kababu Diamond.