Tems Baby ndie Msanii Bomba na Mzuri Kwa upande wa wanawake Africa.

Bull Striker

JF-Expert Member
Dec 2, 2018
383
807
Wakuu poleni na majukumu.Niende moja Kwa Moja Kwa mada.Ukweli usio kwepeka huyu mwanadada kutokea Nigeria amekuwa mwenye mvuto kila aendako.

Kina Drake Burnaboy na Justin Bieber wamekuwa wakimfuatilia Sana kila anapo rukia Stage.

Kwa Binafsi yangu nimemkubali Sana huyu Dada aje tuu hapa Bongo.

Nataman Msanii kama Hamornize agonge nae nyimbo.



 
Back
Top Bottom