Teknolojia za wizi wa magari. Usiache kupitia hapa kujifunza

3. Code grabbing
niliwahi fanya hii kitu kwa client flani m-aussie

1. mwenye gari(user) ana press button kwa key fob, key fob inarusha signal (zenye rolling code) kwenda kwenye gari
hacking device ina toa signal za ku jam (deconstructive interference ), so gari haitapokea zile signal za keyfob , badala yake hacking device itahifadhi zile rolling code(rolling code#1) kwenye memory

2. kwakuwa milango haikufunguka, user atajaribu tena ku press button, hacking device ita jam tena zile signal, kisha itatunza zile rolling code (rolling code#2) kwenye memory, kisha ina release rolling code #1 zile za mwanzo na kuzirusha kwenye gari, gari litafungua milango user ataingia atasepa

3. ikumbukwe kwamba, rolling code #2 zimehifadhiwa kwenye memory ya hacking device, na zinawezatumiwa mda wowote lile gari likipaki
 
Hiyo ya fingerprint ndiyo ile ulieleza inaoperate mifumo miwili (wire/manual na wireless) at once?
Yenyewe inakuwa na option ya remote, yaani unaweza kutumia remote kuweka password au fingerprint, both ways itakupa access kuwasha gari lako.
 
niliwahi fanya hii kitu kwa client flani m-aussie

1. mwenye gari(user) ana press button kwa key fob, key fob inarusha signal (zenye rolling code) kwenda kwenye gari
hacking device ina toa signal za ku jam (deconstructive interference ), so gari haitapokea zile signal za keyfob , badala yake hacking device itahifadhi zile rolling code(rolling code#1) kwenye memory

2. kwakuwa milango haikufunguka, user atajaribu tena ku press button, hacking device ita jam tena zile signal, kisha itatunza zile rolling code (rolling code#2) kwenye memory, kisha ina release rolling code #1 zile za mwanzo na kuzirusha kwenye gari, gari litafungua milango user ataingia atasepa

3. ikumbukwe kwamba, rolling code #2 zimehifadhiwa kwenye memory ya hacking device, na zinawezatumiwa mda wowote lile gari likipaki

Duh hatari sana
 
Hivi kuna security device yenyewe uwezo wa kazi mbili at once: Kill Switch + alarm system (door locks)?
 
Kwa faida ya wengine

Kill switch ya kawaida ni 50,000/=

Kill switch ya wireless ni 100,000/=

Kill Switch ya Fingerprint 250,000/=

GPS ni 150,000/= (inakuwa na kill switch yake ndani)

Safi. Kill switch ni ulinzi tosha!

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom