Teknolojia za wizi wa magari. Usiache kupitia hapa kujifunza

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,381
9,707
Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako.

Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa nazungumzia tech ambazo mtu anaweza kuwasha na kuondoka na gari lako kwa muda usiozidi dakika moja.

Tech hizi zinaweza kutumika separately au combined.

1. Signal Relay
2. Lock Picking
3. Code Grabbing
4. Key programming
5. Signal Jamming

Ngoja tuangalie mojamoja.

1. Signal Relay/Signal Amplifier.

Hii tech inatumika sana kuiba gari ambazo zinatumia smart keys. Whether ni push to start, Keyless au funguo ya kawaida yenye transponder(Gari zenye immobilizer tu).

Mfano umepaki gari lako nyumbani umelala zako ndani. Wanakuja watu na devices mbili au zaidi. Device moja au zaidi inakuwa kwa ajili ya kuextend signal kutoka kwenye funguo yako(transponder au key fob) na device moja anakaa nayo mtu karibu na gari kama receiver.

Wanachokifanya ni kuextend signal kutoka kwenye funguo yako ili ziweze kufika kwenye gari na hiyo receiver ndio itaact kama funguo kwa ajili ya kuunlock milango na kuwasha gari.

Ndani ya Sekunde 20 mpaka 30 watu wanawasha gari na kusepa.

NINI CHA KUFANYA USIIBIWE GARI KWA NJIA YA SIGNAL RELAY?

Kuna njia moja tu ya kujikinga na wizi wa aina hii. Nunua Signal block pocket au Faraday bag kwa ajili ya kutunzia funguo yako. Zinauza less than $5 Aliexpress.

images (12).jpeg

Ukishazima gari, lock milango weka funguo kwenye Faraday bag. Hakuna signal itatoka ndani ya hiyo bag kwenda popote. Simple.

2. Lock picking

Hii tech inatumika kuiba gari za kawaida kabisa ambazo hazina immobilizer. Yaani gari zisizokuwa na funguo za remote. Lakini pia inaweza kutumika combined na tech ya signal relay.

Mwizi anakuja na kifaa kama hiki👇👇

images (11).jpeg

Anaingiza sehemu ya funguo, kuna namna anapick locks na anafungua mlango au kuwasha gari na kuondoka ndani ya muda usiozidi dakika mbili.

3. Code grabbing

Hii ni pure hacking. Hii pia inatumika kuiba gari ambazo zina smart keys.

Kila smart key huwa inakuwa na pin code. Hiyo pin code ndio inayoread unapolock/unlock milango au kuwasha gari.

Sasa mwizi anakuja na kifaa fulani kidogo tu anakaa karibu na wewe anaread pin ya smart yako kwa kutumia kifaa chake.

Akitoka hapo hicho kifaa chake anaweza kukitumia kuunlock milango na kuwasha gari na kuondoka nalo kama vile ana funguo original ya gari.

4. Key programming.

Hapa mtu anatoa copy ya funguo ya gari yako halafu siku umepaki umeingia zako mahali yeye anakuja anawasha anaondoka na gari kama lake.

Ishu ya kucopy funguo siyo kazi sana, zipo devices ambazo mtu anaweza akaingiza kwenye tundu la funguo akapata picha funguo yako meno yake yamekaaje. Na akachonga funguo inayofanania.

Ishu ya kuprogram funguo siyo necessary mpaka uwe na mashine. Kuna msururu wa gari nyingi tu ambazo ukishakuwa na Master key unaweza kuprogram funguo nyingine just kwa manual procedures mathalani toyota.

Pia watu wengine wakati anauza gari anabakia na funguo ya akiba hivyo siku akitaka kukuibia gari anakuja anachukua kama lake.

UNAWEZAJE KUJIKINGA?

Tafuta mtu mwenye mashine ya Diagnosis akusomee kwenye gari yako funguo ngapi zimekuwa registered. Kama unakuta we unao ufunguo mmoja halafu mashine inasoma zipo tatu, Kuna namna ya kufuta hizo funguo zingine, ukabakia huo mmoja.

5. Signal Jamming

Hii njia hutumika sana kuiba vitu vilivyopo ndani ya gari. Lakini inaweza kutumika pia kuiba gari lote kama ikitumika combined na baadhi ya njia hapo juu.

Umeshuka kwenye gari unalock milango kumbe mita kadhaa kutoka ulipo kuna watu wapo na signal jammer wameitega.

Unajua umelock milango kumbe milango hata haikujilock. Unaondoka watu wanapata access ya kuingia kwenye gari wanafanya yao wanaondoka na gari.

Njia rahisi ya kujikinga na hii ni kuhakikisha umelock milango kwa kutumia vitasa vya milango. Lock halafu vuta vitasa uone kama inafunguka.

MATUMIZI YA GPS TRACKERS

Kumekuwa na matumizi makubwa ya GPS trackers kwa watu mbalimbali ambao wana magari.

Ni kweli GPS tracker inaweza kukusaidia kutrace gari lako mpaka ukalipata.

Lakini je unatambua kwamba Networks zinazoingia kwenye GPS tracker zinaweza kuwa jammed na hiyo GPS isiupdate taarifa yoyote? Hapo mtu anaweza akaendesha gari na akalipeleka kokote kule bila wewe kujua lipo wapi.

Pia zipo Devices ambazo mtu anaweza kutumia kujua kama gari imefungwa GPS au haijafungwa GPS. Ndani ya sekunde chache tu anaweza kujua GPS imefungwa sehemu gani kwenye gari na akaing'oa maisha mengine yakaendelea.

Njia hii pia unaweza kuitumia kugundua kama gari uliyonunua ina tracker au lah.

Honestly hakuna mahali utaficha GPS kwenye gari mtu ashindwe kuifikia kama ana vifaa sahihi. Mwizi akishakuja na kifaa cha kudetect wireless networks hiyo GPS atailocate ndani ya sekunde chache sana na ataitoa.

Yale mambo ya kusema sijui funga GPS tracker hata 3 kwa kampuni tofauti tofauti, ni mambo ya kupoteza muda tu. Ila mwizi serious GPS hata zikiwa 10 zote utazikuta kazining'iniza mahali.

Sisemi kwamba watu wasifunge GPS trackers lah. Sina maana hiyo kwa sababu hata mimi mwenyewe nauza GPS trackers.

Labda kitu kimoja ambacho naweza kushauri kuhusu GPS trackers ni kufunga GPS tracker ambayo inakuwa na Kill switch kwa maana ya kwamba hata kama mtu ataamua kujam wireless networks zote, kama kill switch ilikuwa ON bado gari haitowaka hivyo hatoweza kuondoka nayo.

SOLUTION YA JUMLA KWENYE TEKNOLOJIA ZOTE NILIZOZIELEZA HAPO JUU.

Kiukweli kwa maoni yangu solution ya Jumla katika mambo yote niliyoeleza hapo juu ni kufunga Kill switch.

Kill switch inaweza kufungwa kwenye mfumo wowote kwenye gari kwa lengo la kuzuia gari isiweze kuwaka au iwake lakini isiweze kutembea.

Inaweza kuna ni switch ya kuoperate manual(Push button au fingerprint), wireless(RF), Wireless(WI-FI) au Swipe cards.

Mfano mimi nina sample mbili za Kill switch ambayo ina output mbili. Yaani inakuwa na uwezo wa kuoperate mifumo miwili.

Mfumo mmoja unaunganishwa kwa njia ya wire na mfumo mwingine unaunganishwa wireless.

Unaoperate kwa kuscan kidole/vidole vyako kwenye fingerprint sensor na mifumo yote miwili inakuwa unlocked, Kwa maana ya kwamba mtu akitry kutemper na wires kama ataweza basi bado mfumo wa wireless utakuwa upo ON na gari haitowaka.

Kama una ushauri unaweza kuongezea kwenye post yako utakayoweka baada ya thread hii.

Kill switch ya kawaida ni 50,000/=

Kill switch ya wireless ni 100,000/=

Kill Switch ya Fingerprint 250,000/=

GPS ni 150,000/= (inakuwa na kill switch yake ndani)

0621 221 606

Dar
 
Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako.

Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa nazungumzia tech ambazo mtu anaweza kuwasha na kuondoka na gari lako kwa muda usiozidi dakika moja.

Tech hizi zinaweza kutumika separately au combined.

1. Signal Relay
2. Lock Picking
3. Code Grabbing
4. Key programming
5. Signal Jamming

Ngoja tuangalie mojamoja.

1. Signal Relay/Signal Amplifier.

Hii tech inatumika sana kuiba gari ambazo zinatumia smart keys. Whether ni push to start, Keyless au funguo ya kawaida yenye transponder(Gari zenye immobilizer tu).

Mfano umepaki gari lako nyumbani umelala zako ndani. Wanakuja watu na devices mbili au zaidi. Device moja au zaidi inakuwa kwa ajili ya kuextend signal kutoka kwenye funguo yako(transponder au key fob) na device moja anakaa nayo mtu karibu na gari kama receiver.

Wanachokifanya ni kuextend signal kutoka kwenye funguo yako ili ziweze kufika kwenye gari na hiyo receiver ndio itaact kama funguo kwa ajili ya kuunlock milango na kuwasha gari.

Ndani ya Sekunde 20 mpaka 30 watu wanawasha gari na kusepa.

NINI CHA KUFANYA USIIBIWE GARI KWA NJIA YA SIGNAL RELAY?

Kuna njia moja tu ya kujikinga na wizi wa aina hii. Nunua Signal block pocket au Faraday bag kwa ajili ya kutunzia funguo yako. Zinauza less than $5 Aliexpress.

View attachment 2119393

Ukishazima gari, lock milango weka funguo kwenye Faraday bag. Hakuna signal itatoka ndani ya hiyo bag kwenda popote. Simple.

2. Lock picking

Hii tech inatumika kuiba gari za kawaida kabisa ambazo hazina immobilizer. Yaani gari zisizokuwa na funguo za remote. Lakini pia inaweza kutumika combined na tech ya signal relay.

Mwizi anakuja na kifaa kama hiki👇👇

View attachment 2119394

MWISHO

Kama unahitaji ushauri au kufungiwa mfumo wowote wa security kwenye gari yako(Iwe gps tracker, kill switch n.k.) Tuwasiliane

Kwa Diagnosis na matatizo mengine ya magari, Piga simu

0621 221 606

Nipo Dar.

Cc. Mwl.RCT
 
Kaka umetoa madini ya maana sana asante kwa kutufundisha
 
😁 Nina tvs king naweza ipaki sehemu dash inawaka kabisa na funguo hazipo ila huwezi washa ikakubali ..kuna switch ipo sehemu huwezi dhania yenyewe inakata mfumo wa umeme kwenye plug hivo hata upige starter hadi battery iishe haitapokea
 
Back
Top Bottom