Teknolojia ya Intaneti yenye Kasi ya 6G yaingia nchini

Uchaguzi 2025 utakuwa kwa spidi ya 6G, sio bao la mkono tena
1715156115449-png.2984326
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema huduma ya Intaneti yenye kasi ya 6G imeingia rasmi nchini Tanzania

Huyu Waziri amechanganyikiwa ? Maximum Speed ya 5g iliyoboreshwa ni mpaka 20 Gigabits-per-second hio 6G ya 100 Megabytes Per Second Itakua ni kichekesho kutoka Tanzania..wacha nikamfollow niendelee kupokea vichekesho hivi na vijavyo.
 
Ni jambo jema, ila swali ni starlink wanakuja lini? Au mpaka wakapange ofisi Dodoma pale?
Star link wapo. Haukuona lile tukio la afande Mulilo sijui yule kamanda wa jeshi la polisi mkoani Dar kuwakamata vijana waliokuwa wanashirikiana na wachina kutoa huduma ya internet ya kampuni ya star link bila vibali kutoka TCRA?
 
Star link wapo. Haukuona lile tukio la afande Mulilo sijui yule kamanda wa jeshi la polisi mkoani Dar kuwakamata vijana waliokuwa wanashirikiana na wachina kutoa huduma ya internet ya kampuni ya star link bila vibali kutoka TCRA?
Ndio ipo ila naongelea kuwa official kabisa acha kuiba iba ile au kutumia kwa kificho
 
Huyu Waziri amechanganyikiwa ? Maximum Speed ya 5g ni 20 Gigabits-per-second hio 6G ya 100 Megabytes Per Second Itakua ni kituko cha Tanzania.
Huyu jamaa sijui alifikajefikaje hapo kwenye huo wadhifa huwa najiuliza sana. Maana mambo anayofanya na umri wake na muonekano hata haviendani huwa namuona mambo yake kama mwanafunzi wa chuo kikuu anaeigiza kuwa waziri.

Sijui ilikuwaje wakampa hiyo nafasi mtu wa hivi aisee.
 
Anatafuta sababu aongelewe huoni kichwani alivyo mweupe anakuambia 6G yenye speed ya 100mbs mtu alifeli physics ajabu ndio waziri wa teknolojia..

4G , 5G maeneo mengi haipo na ikiwepo ni janja janja haupati exactly bandwidth .. wizi mtupu 5G ya ukiwa south Africa mi tofauti ukiwa hapa Tanzania tofauti kabisa Wizi kila sehemu

 
Kwa mabando haya haya ya postpaid za afu tatu?
😁😂😁😁😂😂Hiii la afu tatu ukigusa kidogo YouTube unaambiwa umetumia asilimia 75 naunga mkono hoja apo afu tatu 😂😁 😂😁😁 bado 5G yenyewe bongo sio nzuri sana
 
Back
Top Bottom