Inategemea na eneo gani kwenye teknolojia maana ni pana sana.Kweli kwasasa hela ipo kwenye teknolojia
Vijana watakaowekeza kwenye upande wa Tehama Wana nafasi kubwa ya kutoboa maisha 👊
Ni kweli, hata hivyo kama una Mtaji unaweza kuwa-consult Wataalamu kwenye hiyo nyanja wakatoa directives ili kusaidia kulinda Mitaji kabla hujaamua kuwekezaInategemea na eneo gani kwenye teknolojia maana ni pana sana.
6G inaingiaje wakati hata 4G haipatikani? Tuache masikhara jamani.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema huduma ya Intaneti yenye kasi ya 6G imeingia rasmi nchini Tanzania
View attachment 2984326
Haa Haa Imebidi Nipekue Simu Yangu Naiona 108Mbps Hii Ndiyo 4G Ama 5G100Mbps ndio kasi ya 6G? Basi Mimi itakua nimeshaitumia sana kabla hata haijaanza kutumika maana nishatembelea sana 200Mbps sasa sijui hio itakua 7G/8G
Usimuulize Wapi? Ni hapahapa Bongo
Theoretically inafika 1Tbps😅100Mbps ndio kasi ya 6G? Basi Mimi itakua nimeshaitumia sana kabla hata haijaanza kutumika maana nishatembelea sana 200Mbps sasa sijui hio itakua 7G/8G
Usimuulize Wapi? Ni hapahapa Bongo
5G Yenyewe Kampuni Zenu Zina Maeneo Leo Tunaambia 6G Wakati Kampuni Wenzeshi Hazijasema Lolote6G inaingiaje wakati hata 4G haipatikani? Tuache masikhara jamani.
Hawa watu wanachekesha sana mkuu🤣🤣🤣🤣5G Yenyewe Kampuni Zenu Zina Maeneo Leo Tunaambia 6G Wakati Kampuni Wenzeshi Hazijasema Lolote
6G in town ndio maana yake kwamba huduma ya Intaneti yenye kasi ya 6G imeingia rasmi nchini Tanzania?Nape Nnauye amesema huduma ya Intaneti yenye kasi ya 6G imeingia rasmi nchini Tanzania
Kumbe na wewe umeona? Amesema ukifika hapo 100Mbps tayari ushafika 6G in town, somapaleHaa Haa Imebidi Nipekue Simu Yangu Naiona 108Mbps Hii Ndiyo 4G Ama 5G