Tegemea hili kutokea juu ya Tundu Lissu hivi punde

Impactinglife

Senior Member
Apr 15, 2019
120
449
Juzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha.

Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu ametolewa gerezani Keko na kupelekwa kusikojulikana. Nilikuwa nasubiria kujilizisha kutoka Deep source zangu Kuanzia tukio la Mh. Freeman Mbowe kumtembelea Hadi tukio la leo hii kutolewa Keko Kwa msafara maalumu.

Ukweli kutoka chanzo chá ndani kabisa ni kwamba Mh. Tundu Lissu ni Kweli alitolewa Keko majira kati ya saa 5:38 aSbh Hadi saa 6:10 kwa order toka Juu na kupelekwa sehemu kwajili ya negotiation na viongozi kadhaa wakuu katika nchi juu ya REFORMS NA UCHAGUZI MKUU KUIRUDISHA CHADEMA ULINGONI. Mazungumzo ya leo yamekuja baada ya mazungumzo ya awali na mwenyekiti aliyepita ambaye alikuwa Messenger wa Kile ambacho kilitarajiwa kuzungumzwa leo na MSIMAMO WA TUNDU LISSU umebaki Ule Ule kuwa NO REFORMS NO ELECTION AND BETTER TO DIE.... OVER MY DEAD BODY I WON'T COMPROMISE MY STATUS.

Taarifa toka ndani zinaeleza kuwa kikao cha leo kilihudhuriwa na viongozi kadhaa wa kidini wenye nguvu ya ushawishi Lakini bado msimamo wa Lissu ni Ule Ule.

Kuna pressure kubwa sana kutoka upande wa serikali na tutarajie Kuona kauli za mawaziri na viongozi wa CHAMA kuendelea kuitetea serikali Kwa kisingizio cha MUDA WA REFORMS HAUPO ILA TUNA AHIDI UCHAGUZI HURU KWELI KWELI

Mh. Tundu Lissu Yupo sehemu salama na atarudishwa Keko Kwajili ya kupanda kizimbani Tarehe 24. Japo Pia Kuna uwezekano wa kuhamishiwa Ukonga. Kitu pekee chakumfanya ni watanzania waendelee kuomba Wale chawa wasije Fanya Sifa kinyume na maagizo ya Mh. Rais na wakamdhuru. MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA.
1744985846008.jpg
 
Juzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha.

Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu ametolewa gerezani Keko na kupelekwa kusikojulikana. Nilikuwa nasubiria kujilizisha kutoka Deep source zangu Kuanzia tukio la Mh. Freeman Mbowe kumtembelea Hadi tukio la leo hii kutolewa Keko Kwa msafara maalumu.

Ukweli kutoka chanzo chá ndani kabisa ni kwamba Mh. Tundu Lissu ni Kweli alitolewa Keko majira kati ya saa 5:38 aSbh Hadi saa 6:10 kwa order toka Juu na kupelekwa sehemu kwajili ya negotiation na viongozi kadhaa wakuu katika nchi juu ya REFORMS NA UCHAGUZI MKUU KUIRUDISHA CHADEMA ULINGONI. Mazungumzo ya leo yamekuja baada ya mazungumzo ya awali na mwenyekiti aliyepita ambaye alikuwa Messenger wa Kile ambacho kilitarajiwa kuzungumzwa leo na MSIMAMO WA TUNDU LISSU umebaki Ule Ule kuwa NO REFORMS NO ELECTION AND BETTER TO DIE.... OVER MY DEAD BODY I WON'T COMPROMISE MY STATUS.

Taarifa toka ndani zinaeleza kuwa kikao cha leo kilihuzuliwa na viongozi kadhaa wa kidini wenye nguvu ya ushawishi Lakini Bado msimamo wa Lissu ni Ule Ule.

Kuna pressure kubwa sana kutoka upande wa gavoo na tutarajie Kuona kauli za mawaziri na viongozi wa CHAMA kuendelea kuitetea serikali Kwa kisingizio cha MUDA WA REFORMS HAUPO ILA TUNA AHIDI UCHAGUZI HURU KWELI KWELI

Mh. Tundu Lissu Yupo sehemu salama na atarudishwa Keko Kwajili ya kupanda kizimbani Tarehe 24. Japo Pia Kuna uwezekano wa kuhamishiwa Ukonga. Kitu pekee chakumfanya ni watanzania waendelee kuomba Wale chawa wasije Fanya Sifa kinyume na maagizo ya Mh. Rais na wakamdhuru. MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA.

View attachment 3308605
Congratulations gentleman,
upotoshaji at it's best wakati mahabusu akiinjoy mandhari nyingine mpya ya korokoroni katika gereza la ukonga kulingana na mahitaji ya physical condition ya mshukiwa 🐒
 
Kuna pressure kubwa sana kutoka upande wa gavoo na tutarajie Kuona kauli za mawaziri na viongozi wa CHAMA kuendelea kuitetea serikali Kwa kisingizio cha MUDA WA REFORMS HAUPO ILA TUNA AHIDI UCHAGUZI HURU KWELI KWELI
Ngoja kwanza, sisi tunasubiri jamaa apigwe kitanzi imekuwaje?

Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni Mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele.
 
Back
Top Bottom